Recent content by kasamba12

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji masada wakuu, wapi naweza pata huduma ya PEP?

    Kama huna msaada mkuu , pita kimya kimya, hakuna kinachoharibika
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji masada wakuu, wapi naweza pata huduma ya PEP?

    Nahitaji masada wakuu wapi na weza pata huduma ya PEP Kipindi hiki cha sikuu maana nimetembelea hospital kadhaa hapa mjini dar , meambiwa huduma mpaka jumatatu , nikipiga hesabu kwa rafu niliyocheza mpaka Juma tatu masaa 72 yatakua yameshakwisha. Rafu nilicheza usiku Wa kuamakia Jana alhamis...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta mwekezaji kama wafanyavyo Kariakoo

    Bunju duuh nilizani ilala
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Acha ww mbona tindu lisu almtaja lowasa kuwa ni fisadi papa, siasa mchezo mchafu, akihamia chadema lazima apokewe kwa shangwe tuu ña ataitwa kamanda kama kawa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dereva nusra aue mtu kwa kuitwa Bashite

    Aaaaah ww nae mbona unatubashite bashite banaah
  6. K

    JamiiForums Tanzania Niambie biashara/bidhaa zako nikuletee mteja

    Wazo zuri mkuu, karibu kwangu me nauza vifaa vya umeme, nina TV za chogo na flat, deki, Radio, feni, pasi, blenda ,na fenicha za kichina zipo karibu sana mkuu tufanye kazi
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu huwa ananibaka

    Kwani kwa sasa upo wapi Narudi Tanzania
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wapenda vitonga utawajua tuuuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wachumi naomba mbinu!

    Sasa kama unakazi hifadhi huo mshahara wako kwa kupunguza matumizi ili upate mtaji, kama huwezi kuhifadhi hicho unachokipata basi achana na mawazo ya Biashara .
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nimedunduliza hatimaye mwezi wa nne nafikisha mil 6

    Fuata ushaur aliokupa cuty shy, hata hiyo leseni ya biashara achana nayo kwanza ww kafungue tu biashara tuu ukitaka ufuatilie kila kitu kwa huo mtaji wako hautafanikiwa kwan gharama nyingi zitaenda kwenye malipo ya kodi za serekali, tena hata siku ya kwenda tra kutafuta tin usijichanganye...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watazania ni masikini?

    Pale mwisho kasema usitafute makaratasi tafuta maarifa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna atakaye take risk kwa niaba yako, elewa hivyo

    Ushaur mzuri sana huu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo hofu zinavyotugharimu kwenye safari ya ujasiriamali

    Ahsante kwa somo zuri aisee
Back
Top Bottom