Nahitaji masada wakuu, wapi naweza pata huduma ya PEP?

Nahitaji masada wakuu, wapi naweza pata huduma ya PEP?

kasamba12

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2016
Posts
343
Reaction score
256
Nahitaji masada wakuu wapi na weza pata huduma ya PEP

Kipindi hiki cha sikuu maana nimetembelea hospital kadhaa hapa mjini dar , meambiwa huduma mpaka jumatatu , nikipiga hesabu kwa rafu niliyocheza mpaka Juma tatu masaa 72 yatakua yameshakwisha.

Rafu nilicheza usiku Wa kuamakia Jana alhamis na masaa 72 yanaisha kesho jumamosi usiku.

Nahitaji msaada waungwana
 
Nahitaji masada wakuu wapi na weza pata huduma ya PEP
Kipindi hiki cha sikuu maana nimetembelea hospital kadhaa hapa mjini dar , meambiwa huduma mpaka jumatatu , nikipiga hesabu kwa rafu niliyocheza mpaka Juma tatu masaa 72 yatakua yameshakwisha .
Rafu nilicheza usiku Wa kuamakia Jana alhamis na masaa 72 yanaisha kesho jumamosi usiku.

Nahitaji msaada waungwana
Una hofu ya ngoma au mimba?
 
Hiyo lazima uende na PF3 ndiyo upatiwe matibabu .maana ni kwa wale waliobakwa tuu,si kwa waliocheza rafu hao walikuwa wanajua wanachofanya
 
Du pole sana ndugu, nenda hospital yoyote ya private/government kubwa kiasi, tafuta doctor kata mpunga utapata hiyo huduma, vinginevyo mpaka j3, na pia j3 mpaka ujieleze sana ueleweke na mpunga upo palepale( kumbuka PEP is for emergency).

Nakumbuka 2012 nikiwa nakaa mabibo mwisho, nilenda manzese kona nikachukua malaya mmoja mzuri nikaingia nae guest nikapiga wee ndom ikapasuka, mi nikaendelea kumsugua yule changu, nikasugua kavu sana tu, nitoa mchindo 1 nikaunga yule changu akaanza kunipa ushirikiano sijui na yeye alikua naukame sijui ndo alikua ananipa virus vizuri, baada ya mshindo wa 2, kidume nikachomoka, ndom imebaki mkanda kwenye shina tu,

nikavaa nguo fasta yule changu akaniambia unampiga mtu kavu hata humjui itakufa, du nikachoka gafla, nikaulizia pale guest wakaniambia mbona huyo dada ameathirika muda tu na ni mstaarabu sana hua ana waambia watu, ilikua saa 5 usiku, kesho yake 12 asubuhi nipo mnazi 1 nikasubir wakafungua saa2, nikapima ngoma nikamwambia doctor kila kitu. nikapewa dawa za mwezi 1, Nakumbuka nilipewa dawa nikanywa muda ule ule. ndo wanaita PEP.
 
Nahitaji masada wakuu wapi na weza pata huduma ya PEP
Kipindi hiki cha sikuu maana nimetembelea hospital kadhaa hapa mjini dar , meambiwa huduma mpaka jumatatu , nikipiga hesabu kwa rafu niliyocheza mpaka Juma tatu masaa 72 yatakua yameshakwisha..
Mkuu mbona sijakuona kule kwenye Kulana kimasikhara?? Maana piga ya hiyo lazima ilikuwa kkmasikhara.
Tafadhali ukitoka hapa njoo utupe mrejesho Kyle, nakusubiri

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nenda hosptl za private watakupea ila uwape chochote na lipia dirishan na kiingilio cha kumuon daktar kule sasa ndo ueleze hilo jambo lako.
 
Huna Dokta unayemfahamu? Basi kimbilia hospital binafsi..

Ni Red Card pale kwa mtoa mada baada ya 'kucheza rafu mbaya'
 
Pole mkuu , upt under o over , Kama under usipate wasiwasi, Jiongez unapoend Hospital

Then Kama huna Moyo hizo daw unawez ukaachia kati
 
Du pole sana ndugu, nenda hospital yoyote ya private/government kubwa kiasi, tafuta doctor kata mpunga utapata hiyo huduma, vinginevyo mpaka j3, na pia j3 mpaka ujieleze sana ueleweke na mpunga upo palepale( kumbuka PEP is for emergency)...
Mrejesho niaje PEP zilikusaidia?
 
Back
Top Bottom