Niambie biashara/bidhaa zako nikuletee mteja

DENLSON

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
949
1,259
Habari
Nafanya kazi ya kutafuta wateja niambie biashara yako au bidhaa ulizonazo, bei na ubora nikuletee wateja pia Kama unaitaji bidhaa tuwasiliane
NB:Malipo ni makubaliano kwa wauzaji
 
Wazo zuri mkuu, karibu kwangu me nauza vifaa vya umeme, nina TV za chogo na flat, deki, Radio, feni, pasi, blenda ,na fenicha za kichina zipo karibu sana mkuu tufanye kazi
 
Nitumie picha
 
Nina uza Fresh mushroom (Button mushrooms) kama unaweza kupata soko sana kwenye Supermarkets na hotels.
Nina uwezo wa 5tons production per week:
Hii ni fulsa ya kazi kama unaweza kupata distributor(s)
Utani PM kama uko interested.
 
Attachments

  • Packaging #4.gif
    Packaging #4.gif
    29.9 KB · Views: 31
  • Packaging #8.jpg
    Packaging #8.jpg
    7.6 KB · Views: 30
Nina uza Fresh mushroom (Button mushrooms) kama unaweza kupata soko sana kwenye Supermarkets na hotels.
Nina uwezo wa 5tons production per week:
Hii ni fulsa ya kazi kama unaweza kupata distributor(s)
Utani PM kama uko interested.
Vifungashio unanunua wapi mkuu - sorry kwa kuwa nje ya mada
 
Unaweza tafuta Wateja wa kuandikiwa proposals za biashara na miradi? Come 0692138944
 
Back
Top Bottom