Mwaka huu hatutaki mchezo. Nguvu ya wananchi itazaa matunda hadi wanasisiem washangae, wengine watazimia pale watakapoona
watu makini wakiongozwa na SLAA watakaposhika hatamu kuikomboa nchi hii kutoka kwenye uongozi dhalimu,fedhuli, katili, uliojaa rushwa, ubabaishaji, conservatives, wezi...