Kwa graduates msio na ajira ....faraja.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa graduates msio na ajira ....faraja..

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by The only, Nov 28, 2011.

 1. The only

  The only JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Asalam aleikhum waungwana ! leo The only naona nibadilishane nanyi juu ya hili.

  Ni wazi hali ya ajira kwa sasa ni ngumu unaweza tuma barua 100 usijibiwe hata moja na ukijibiwa ni kukushukuru kwa kuomba na kukupotezea kulinda reputation yao ,kwa hili mwenzenu nina ushauri tofauti.

  mimi naona kilimo ndo iwe focus yenu sisemi muwe wakulima mazima ila naamini graduate angepata mtaji wa warau 10 million anaweza kujipanga akatumi taaluma yake kujiajiri na after miaka 10 akawa milionea mwenye mchango mkuu kwa familia,ndoa,jamii na taifa kwa ujumla.

  Mfano ukilima tangawizi gharama yake ni 1.5 kwa ekar at maxmum ila ata minimum mavuno ni tani 6000x1500=milion 9 tayari unaweza kulipia eneo mwaka ukaanzisha biashara ,au ukipanda miti ekari nzima kwa mbeya iringa

  mchanganuo
  Kununua ekari 5 200000
  kulima na kupanda 100000
  miti 2000@500 100000
  uasafiri ,accomodatin fro DAR 200000
  other 200000

  Total capital 800000

  Sales 2000@30000 60000000(mil 60) hii ni current price na ina appreciate ndani ya miaka minne tuu.

  AIDHA MIMI NAEONGE NILIWAHI KUAJIRIWA BENKI NIKALIMA NDO KUVUNA NIKARESIGN TENA 24 HRS NA HATA PPF SIJAENDA KUCHUKUA MAFAO.

  Tatizo letu tuna husisha utozi na usomi ,hakuna sheria kuwa eti msomi lazima avae tai huo ni upuuzi sisi ni nchi masikini tukumae.
   
 2. The only

  The only JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  sion tan 6000 ni tan 6 au kilo 6000 nawakilisha
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  uliwahi kuajiriwa. ukafanya saving, ukawa na access na mikopo.....vyovyote vile lakini b'dae ndio ukapata mtaji wa kulima. Sasa hao mafresh from school watatoa wapi capital? Ushauri wako bado hautowasaidia.
   
 4. The only

  The only JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Asalam aleikhum waungwana ! leo The only naona nibadilishane nanyi juu ya hili.

  Ni wazi hali ya ajira kwa sasa ni ngumu unaweza tuma barua 100 usijibiwe hata moja na ukijibiwa ni kukushukuru kwa kuomba na kukupotezea kulinda reputation yao ,kwa hili mwenzenu nina ushauri tofauti.

  mimi naona kilimo ndo iwe focus yenu sisemi muwe wakulima mazima ila naamini graduate angepata mtaji wa warau 10 million anaweza kujipanga akatumi taaluma yake kujiajiri na after miaka 10 akawa milionea mwenye mchango mkuu kwa familia,ndoa,jamii na taifa kwa ujumla.

  Mfano ukilima tangawizi gharama yake ni 1.5 kwa ekar at maxmum ila ata minimum mavuno ni tani 6000x1500=milion 9 tayari unaweza kulipia eneo mwaka ukaanzisha biashara ,au ukipanda miti ekari nzima kwa mbeya iringa

  mchanganuo
  Kununua ekari 5 200000
  kulima na kupanda 100000
  miti 2000@500 100000
  uasafiri ,accomodatin fro DAR 200000
  other 200000

  Total capital 800000

  Sales 2000@30000 60000000(mil 60) hii ni current price na ina appreciate ndani ya miaka minne tuu.

  AIDHA MIMI NAEONGE NILIWAHI KUAJIRIWA BENKI NIKALIMA NDO KUVUNA NIKARESIGN TENA 24 HRS NA HATA PPF SIJAENDA KUCHUKUA MAFAO.

  Tatizo letu tuna husisha utozi na usomi ,hakuna sheria kuwa eti msomi lazima avae tai huo ni upuuzi sisi ni nchi masikini tukumae.
   
 5. I

  Isaack Binya Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sure! means ya kupata hiyo hela kwa urahis ni kwa mkupo tu,napataje sasa wakat sina kitu wala dhamana yeyote,hali mbaya!fanya mchanganuo na hapo mkuu!
   
 6. k

  karisti Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ebwanaee! mawazo yako mazuri sana ndugu,
  hayo mashambe yanapatikana wapi?
  Na je huuzwa kwa bei gani kwa ekari?
  na je tangawizi hukua vizuri katika mazingira gani?
  VP kuhusu hizo gharama, c unajua wengi chokambaya, ukitaka mkopo masharti kibao, so itakuwaje mkuu-saidia kutoa ushauri wa kupata funds
   
 7. The only

  The only JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  unathink in a negative way ,yaani unatry to act victim kumbuka you are responsible for everything in you and solution will come from you ,mimi naacha kazi nilikuwa na laki 5 tuuu na ilitokana na kuugua kurudi bushi na raki tano zangu nikajikuta ni don kjjn naweza thro laki kulimisha watu hata ekari 5,unataka kusema huwez tafuta 5 kwell ,mkono mtupu haulambwi,tatizo unataka utoke chuo uwe director u must nill down to the mudd you wake up with diamond,ningesema nina uza vitu graduate waniuzie ungesapot hujui hiyo yampasa mmachinga
   
 8. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  duh!! Sijui unaongea ukweli au vipi?? Security kubwa ya kilimo sehemu yoyote ni maji..ukisha kuwa na uhakika wa maji ndo unaweza kufiliria kulima sasa wewe hujongelea maji ya kumwagilia uatayapataje?? Au ndo unasubiri mvua zinyeshe ndo ulime(rainfed).kama ndo hivo mzee utapta hasara vibaya?
   
 9. The only

  The only JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  unathink in a negative way ,yaani unatry to act victim kumbuka you are responsible for everything in you and solution will come from you ,mimi naacha kazi nilikuwa na laki 5 tuuu na ilitokana na kuugua kurudi bushi na raki tano zangu nikajikuta ni don kjjn naweza thro laki kulimisha watu hata ekari 5,unataka kusema huwez tafuta 5 kwell ,mkono mtupu haulambwi,tatizo unataka utoke chuo uwe director u must nill down to the mudd you wake up with diamond,ningesema nina uza vitu graduate waniuzie ungesapot hujui hiyo yampasa mmachinga
   
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Mfano ukilima tangawizi gharama yake ni 1.5 kwa ekar at maxmum ila ata minimum mavuno ni tani 6000x1500=milion 9 tayari unaweza kulipia eneo mwaka ukaanzisha biashara ,au ukipanda miti ekari nzima kwa mbeya iringa

  Mkuu hebu fafanua hapo kwenye red and bolded, maana naona akili yangu 'ndogo' inashindwa kuunga hii kitu. Siajua kama ekari moja inatoa tani 6000 au 1500. Aisee inaweza kuwa ni bonge la teknolojia hiyo. fafanua please!
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mkuu hebu fafanu hapo kwenye red and bolded, please!
   
 12. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  wazo zuli, ila capito wapi kaka?
   
 13. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Unaongea pointi mpaka raha

  [​IMG]
  Il Gambino.
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Sawa mkuu.
   
 15. The only

  The only JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  ni milioni 6 hadi 9 nimekosea
   
 16. The only

  The only JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  nimekosea ni 6m ila hii ni at minimum inaenda hadi 9
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,774
  Trophy Points: 280
  jibu hayo mashamba yanapatikaa wapi?
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  The only je mazingra ya kisarawe?tanga'thief zinakua?
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mbona kama umenijibu kwa mipasho? Nway, wahusika wamekusikia. Naishia hapa.
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  amesema yeye wakati anaacha kazi alikuwa na laki tano. Sababu iliyomfanya aache kazi ni kuugua. Hajasema laki 5 alizipataje ila kwasbb alikuwa kazini tunajua zilitokana na mshahara.
  Huko bush alikuwa analilimisha watu ekari 5 kwa laki moja that means kila ekari moja ni elf 20. Tumejifunza kuwa mafanikio yake yametokana na unyonyaji aliouwafanya kwa wakulima, mtaji wake ulitokana na kazi aliyokuwa anafanya.
  Nafikiri thread yake ingelenga graduates ambao wameshapata kazi wasijibweteke na kutegemea mshahara tu, wafanye kazi ila wakumbuke kuwekeza na kwenye kilimo kwa kipato zaidi.
   
Loading...