Hii ndiyo timu ya Kuwakomboa Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndiyo timu ya Kuwakomboa Watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by STEIN, Apr 9, 2011.

 1. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi viongozi wa CCM wamelogwa au? wanaugua ugonjwa gani? mbona hawatuambii wana ugua nini? Lakini kila siku wako kwenye msururu wa kwenda Loliondo kwa babu?

  Nauliza maswli haya kutokana na yanayotokea hapa TZ siku za karibuni.

  Wakati wa maandamano ya CDM kanda ya ziwa CCM na viongozi wake walikurupua na kusema eti CDM inawapa watu pesa ili wahudhurie maandamano yao kitu ambacho ni uongo maana siamini kama CDM inaweza hela kwa kiwango wanachofikiria hawa CCM ila ni ukweli kwamba CDM inapendwa na watu kutokana na sera zake na kuwa na viongozi wenye nia njema na waTZ, mfano Dr. Slaa ni mtu ambaye kama huna matatizo ya akili na kama hunufaiki na ufisadi unaoendelea hapa nchini lazima utamuunga mkono kwa sababu ni mtu msafi anayejali watu na mwenye uchungu na hii nchi yetu. Ukiangalia Mbowe na Tundu lisu ni watu safi kabisa na wana nia ya dhati ya kuwakomboa waTZ mikononi mwa mafisadi hawa wa Tz ie CCM.
  Kuna huyu kijana Zitto amekuwa anachuja kadiri siku zinavyoenda kwa kutokuwa na misimamamo kweli ya kuwatetea waTZ, vijana wengi wanaanza kupunguza imani kwa huyu bwana lakini akijirekebisha na kujisafisha basi naye ni mtu watu.

  Ona timu ya CDM:

  1. Freeman Mbowe-Moshi
  2. Dr Wilbroad Slaa-Arusha
  3. Tundu Lisu-Singida
  4. Zito Kabwe-Kigoma
  5. John Myika-Dar/ubungo
  6. Joseph Mbilinyi aka Sugu-Mbeye
  7. Godbless Lema-Arusha
  8. Saidi Arfi- Rukwa/Mpanda
  9. Prof Kahigi-Shinyaga
  10. Wenje-Mwanza/Nyamagana
  11.Ndesamburo-Moshi
  12. Halima Mdee-Dar/Kawe
  13.Peter Msigwa-Iringa
  14. Prof. Baregu- Dar
  15. Prof Safari: Dar
  16. Annakomu-ZNZ
  17.Vicent Nyerere- Mara/musoma
  18. Wilfred Rwakatare-Bukoba
  19. Regina Mtema-Morogoro
  20. Highness-Mwanza/Ilemela
  21. Mabere Marando-Mara/Bunda

  Hao ni wachache tu hii ndio timu ya mafaniko ya watanzani, kumbuka Nyerere alizunguka hii nchi mwenyewe wakati wa kudai uhuru sasa mnafikiri, hiyo timu itashindwa kuikomboa TZ mikononi mwa CCM ile hali kuna wnanchi nyuma yake?

  Waseme kila wanachikiweza lakini tanzania lazima ikombolewe.
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hiyo timu ni finyu sana! Timu nzuri ni watanzania kwa wingi wao kuhamasika na kutetea haki zao! Hao uliowataja wawe kwenye benchi la ufundi tu kwani kilichoonekana kwenye muswada haramu ni kwamba watungaji wanataka kutumia nguvu kubwa ya dola kusuppress mawazo huru!
   
 3. k

  karisti Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Moto wa chadema hautazimika kamwe
  haya ya sasa ni rasharasha 2, mambo yenyewe yaja siku za usoni
   
 4. M

  Maimai Senior Member

  #4
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mtikila je
   
 5. Kamanda

  Kamanda Senior Member

  #5
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  nakubaliana nawe, lakinii tz inahitaji viongozi wengi makini na sio lazima watoke cham kimoja hata wapo ccm weny uchungu na utaifa mkuu
   
 6. o

  omuka Member

  #6
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekukubali!
   
 7. mwana wa mtu

  mwana wa mtu JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ....Ongeza Mzee Joseph Selasini(Maswa)...mashine kubwa na imara ya mageuzi Shinyanga. Lakini cha msingi:hawa ni waongoza njia tu, timu ya ukombozi ni Watanzania wenyewe kwa ujumla wao-kujua haki zao na kuzisimamia dhidi ya mikono dhalimu na ya kifisadi
   
 8. M

  MENDE JEURI Senior Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Timu ya kitoto sana hii. Wengi ni watu wa kususasusa tu. Zitto Kabwe mimi namkubali, ni shujaa wa kweli si wa kubebwabebwa tu.
   
 9. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Ramani ya Tanzania cjui itakaaje!
   
 10. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  sahamani mkuu kwenye red ni TARIME ili kuweka kumbukumbu sawa
   
 11. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  kweli we mende jeuri!!!!!!!!!!!!
   
 12. p

  plawala JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo benchi la ufundi jumlisha na watanzania wote toa mafisadi,wabinafsi,wanaotumia mamlaka zao kugandamiza haki za wengine nk
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tarime nipo mimi (speaker)
  Mwita waitara
  Heche
  na wana tarime wote,marando ni wa rorya huko
   
 14. B

  Baba Jose Senior Member

  #14
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikili pia kuna kijana ameachwa mh Shilinde mbunge wa mbozi ni mpambanaji mzuri
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,564
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  Hivi watanzania wote ni wanachadema? guys wake up, hizi generalisation kills you!
   
 16. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  hayuko CDM. haelewki, alichukuwa pesa kutoka kwa Rostam Aziz. HAPO VIPI WAKUU
   
 17. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huyo ni wa DP, weaknesss yake hapendi muungano.
   
 18. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nimeitaja ya CDM kwa makusudi maalum, kama kuna ya chama kingine we tutajie tu mkuu
   
 19. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Asante sana speaker, najua kule hakiharibiki jambo migodi vp? dhahabu bado zipo?
   
 20. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kanda ya ziwa nawaaminia
   
Loading...