Nafasi za Kazi VETA

Madiba

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
426
251
Dear coleagues
Please inform me, there is a friend of mine aliomba kazi hapo VETA na akiitwa kwenye enterview in October 2011, anahitaji kujua kama wameshaajiri hao watu au la.
 
Dear coleagues
Please inform me, there is a friend of mine aliomba kazi hapo VETA na akiitwa kwenye enterview in October 2011, anahitaji kujua kama wameshaajiri hao watu au la.

Madiba umeuliza swali ambalo wengi watakuwa wanahitaji kujua maana nafasi zile zilikuwa kibao na hivyo wengi tuu walijitosa kwenye kinyang'anyiro. Wakuu, mwenye taarifa zozote aziweke jamvini.
 
Hebu wenye habari za hizi tujuzeni tujue kwani kamda nako kameenda, na waliokuwa interviewed still wanasubiria!!!!!???
 
Hata mwezi haujaisha mnataka muitwe kwenye interview daima kazi yoyote hadi kufanyika interview lazima ichukue miezi miwili au mmoja na nusu.
 
Hata mwezi haujaisha mnataka muitwe kwenye interview daima kazi yoyote hadi kufanyika interview lazima ichukue miezi miwili au mmoja na nusu.

Uyole, kazi zilitangazwa september na watu walishaenda interview kaka! Hii wiki ya tatu tangu watoke interview kaka.

Madiba na wengine mnaoulizia- nahisi watakuwa hawajaita watu - wasikilizieni wiki hii
 
Dear coleagues
Please inform me, there is a friend of mine aliomba kazi hapo VETA na akiitwa kwenye enterview in October 2011, anahitaji kujua kama wameshaajiri hao watu au la.

Kuna msela wangu aliitwa kwenye interview walifanyiwa na delloite pale ppf tower wamemuambia baada ya wiki 2 asubirie kama atakuwa amefanikiwa.....Wiki 2 bado mpaka sasa je we mwenzetu uliomba nafasi ipi?
 
Dear coleagues
Please inform me, there is a friend of mine aliomba kazi hapo VETA na akiitwa kwenye enterview in October 2011, anahitaji kujua kama wameshaajiri hao watu au la.[/QUOTE

walishaitwa kwenye interview ila kwa upande wa kaz bado sijafahamu]
 
mimi nilifanya interview wakaniambia baada ya wiki mbili watatoa matokeo kwa waliopata na kusema kama interview ya pili itahitajika au laa!
 
Kuna msela wangu aliitwa kwenye interview walifanyiwa na delloite pale ppf tower wamemuambia baada ya wiki 2 asubirie kama atakuwa amefanikiwa.....Wiki 2 bado mpaka sasa je we mwenzetu uliomba nafasi ipi?

mzee wa njaa, wiki mbili zilishapita... washikaji walioitwa kwenye interview walienda tarehe kumi na saba...
 
Nashukuru wana JF kwa wito wenu, endeleeni kutoa update!!!
 
Madiba na wengine wote wanaotaka kujua kuhusu kuitwa kazaini na VETA, Kwa ufupi nikwamba bado hajaitwa hata mmoja, endapo ataitwa hata mtu nitakuelezeni.
 
Umenena JayM, let's wait!! Muda ukifika ukaueleza wana JF itakuwa poa sana....!
 
umenena jaym, let's wait!! Muda ukifika ukaueleza wana jf itakuwa poa sana....!

jamani veta vipi baada ya interview ya tarehe 17/10/2011 pale ppf tower, kuna dogo aliomba, hawajatoa bado majina ya nafasi kwa waliopata?wanajf mwenye taarifa tujuzane.
 
ngelemakumulu Nafikiri hawajaita japo dah! siku zimekwenda xana na waliohudhuria bado matumbo moto. JayM ulisema utatoa update- tupe ripoti mkuu
 
duuh!!!!???????haya bwana let them wait the time will come,

Mwanajamii JayM tupe update basi maana the boys are eagerly waiting!!
Kama kuna mwanajamii mwingine mwenye hint kuhusu topic hii atupashe!!
 
Be patient guys, they are still finalizing the recruitment process, you will be notified after its completion.
Kwa kifupi ni kwamba taratibu za kuajiri bado hazijakamilika. Mtaarifiwa zitapokuwa tayari.
 
Ile Veta Lindi wamefanya jana....imeffanyika mtwara makao makuu karibu na baharini kule shangani west....nimekutana na jamaa wa welding, position 1 ila walioitwa walikuwa 5...kwa ufupi aliniambia walioitwa kwa interview walikuwa wengi tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom