Wanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini wafunga... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini wafunga...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ketwas, Jan 25, 2011.

 1. ketwas

  ketwas JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 213
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Tumaini sehemu ya Makumira wafunga barabara ya Moshi/Arusha.Polisi watumia mabomu ya machozi kuwatawanya.sour nipashe breaking news
   
 2. k

  karisti Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli hii noma.
  naona ushakuwa mchezo kwa kila chuo kugoma
  au ndo style ya 2011.
   
 3. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ufunuo wa cdm,mbowe kapita hapo wameelewa somo,kwanini wanapata taabu na serikali inadai haina pesa huku wanashinikiza dowans walipwe tzs 94 billions,wapi na wapi,pesa zisaidie kugharamia elimu.
   
 4. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kichwa cha habari nilidhani likizo!
   
 5. m

  mzee wa inshu Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Big up sana fdirst year mmeonyesha ukomavu!
   
 6. m

  mzee wa inshu Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Big up sana first year mmeonyesha ukomavu!
   
 7. g

  gnm Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  ndio mambo yanayotakiwa kufanyika ili Serikali ya huyu mkwere ielewe nia ya wananchi wake.
  shangaaaaa huku migomo Rais nakwenda kupumzika Swis
   
Loading...