Kazi ubalozi wa sweden -tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi ubalozi wa sweden -tanzania

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by karisti, Aug 25, 2011.

 1. k

  karisti Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wADAU NIMESIKIA HIVI KARIBUNI UBALOZI WA SWEDEN HAPA BONGO WALITOA NAFAS YA KAZI, KUNA YEYOTE ALIZINYAKA ANIJUZE
  NATANGULIZA SHUKRANI
   
 2. Adu gida

  Adu gida Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Uzoefu ndiyo tatizo kama zimetoka wa2pe nafasi hizo tuzione
   
 3. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Aiseee Jifunze kuandika title ndugu vitu kama hivyo unasema kama ni Tetesi ili tujue,sio unaandika utadhani unatupa taarifa ya kazi.
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hbu nenda kwenye website yao ukajue huko then urudi na majibu hapa.
   
Loading...