Recent content by Kapeche

  1. K

    Magufuli kuwa makini, sema lolote sasa

    Pia asiwasahau wasanii hasa Wema Sepetu na JB
  2. K

    Red Bull bado itatamba F1 msimu huu

    Ferrari huwa ina anza vibaya lakini inamaliza vizuri.
  3. K

    Lipumba awavaa viongozi CHADEMA

    Lipumba jamani vipi? Anapoteza mda wa kuijadili CDM, haiwezi. CDM inawakilisha 'nyomi' la ajabu, chama ni support ya watu tu. Lipumba aje na issue ya maana aone kama hajavuta nyomi.
  4. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    after international break arsenal tutatisha, kwani vijana majeruhi wengi watarudi uwanjani.
  5. K

    MotoGP, WRC, SuperBike and other Motorsports

    mwaka huu ni stoner na lorenzo ndo wakali, sidhani kama the doctor atafua dafu kwa hawa vijana
  6. K

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    kubenea labda anataka na msikiti upate share! Mbona alizokusanya shariff hazikupigiwa hesabu
  7. K

    UEFA Champions League Quarter Final Draw RESULTS

    njia nyeupe kwa barcelona! Mourinho atapata kibano kwa Spurs! CL draw iko poa
  8. K

    How to use JamiiForums effectively

    naomba namba ya M-pesa au tigo-pesa na maelekezo zaid ili nami niweze changia
  9. K

    Hali yachafuka singida mjini.

    2015 CCM watamweka kafri kugombea urais, mashehe mtahamia chama gani? Tatizo la mashehe ni elimu 0 ndo maana wanagezwa kama majuha
  10. K

    Kardinali Pengo: Watawala siyo miungu; Maandamano hayana tatizo so far..

    mashehe watamjibu kwa waraka wa waislam wa kumpinga pengo na kuwatetea mafisadi! Wiki haitaisha utawasikia mtandaoni
  11. K

    Mr II awachomea wasanii wanaoipigia debe CCM;Ataka wananchi kutohudhuria matamashayao

    No, is not fair kuwazuia watu na interest zao! tuko huru kushabikia chama tukitakacho, hata kama wamekodiwa ni sababu ya njaa zao. Usiwahukumu wasanii wetu bado wanatafuta, au sababu ameshakuwa mbunge hana shida ya kupanda jukwaani ndio maana anafanya hivyo? Waliipigia CCM kampeni kwa malipo...
  12. K

    Kila aliyemchagua Kikwete sasa ametambua kuwa ni miongoni mwa waiolaaniwa nchini.

    kizazi cha waoga kudai haki zao, wanaopenda hotoba nzuri bila vitendo na wanaodhani kukandamizwa na kunyimwa uhuru wao sasa kinamalizika! kizazi kinacho kuja sasa ni hatari kwa viongozi wasanii. KAENI CHONJO HILI NI GHARIKA. jamani watanzania tusikubali kunyanyasika kiasi hiki kwenye nchi yetu...
  13. K

    Eti chenge ajitangazia uadilifu!!

    anafikiri watanzania bado mbumbu. HATUDANGANYIKI!!!
Back
Top Bottom