Magufuli kuwa makini, sema lolote sasa

Magufuli kuwa makini, sema lolote sasa

kiazi kingine tu eti rais sadam husein wa libya
 
Kuna juhudi kubwa sana zinafanywa kuhakikisha Magufuli anaibukia ikulu, kumbuka ukifanikiwa kuingia ikulu lazima utawalipa fadhila na hili litakugharimu kama lilivyogharimu utawala uliopo madarakani sasa.

Kuna watu utalazimika kuwaonea aibu na kuwapa uongozi kwani ndio wamekuweka hapo ikulu. Serikali itakuwa mzigo kwako.

Kemea hali iliyopo sasa.

Bulembo atakuwa mzigo kwenye serikali ya magufuli
 
Hana uwezo wa kuongea chochote.

Sasa hivi anapangiwa baraza la mawaziri.
Anapangiwa tena. Wewe si ndio mpangaji. Haya makamba atakuwa ndani ya baraza maana ndio alikuwa kiongozi.
 
acha tuongozwe na familia kama sultan ndo tutaisoma namba ana mbele kwa mbele

wakati mwingine tufikirie kuwa familia mbovu hutoa vibovu, rada ishang'aa ila itayoyoma muda si mrefu
 
Hama nchi au ingia msituni!
we ----- nini mwambie baba yako ndio aame nchi mamluki wewe ni utaisoma namba kweli hapo ulipo unanuka kinywa kwa njaa kazi kukata viuno eti ccm ni ile ile ,matakko wewe
 
Back
Top Bottom