Lipumba awavaa viongozi CHADEMA

Mtamaliza matusi ote lakini Prof Ni msomi aliyebobea kwenye uchumi na ana uzoefu mkubwa sana na siasa za tanzania.

Ukweli unaumaaaaaa eheeeeeeee, badilikeni muwe na uso wa kitaifa sio ukanda, ukabila na udini.


Amewasaidiaje watz kukabiliana na changamoto za kila siku..?
 
Huyu mchumi wa ajabu kabisa...yeye Tanzania ni Pangani,Kigoma,Lindi,Tabora,Tanga na Zanzibar tu....karibu Arusha uje useme utumbo wako
 
Kweli CUF ndio wamepotea kabisa maana kama wanataka kufanya siasa basi wangebaki na mambo yao tu kuliko kuwasema CHADEMA ndio sasa tunaona Unafiki wa CUF
 
wenzake wanakula bata zenji, yeye amekalia siasa za magazetini... chadema wao vitendo tu uraiani na hadi wanakubalika na magazeti yanawatafuta chadema ili wawaandike.. sio uyo lipumba yeye anayatafuta magazeti...
 
Nashindwa kuamini kama hii ni ile CUF ya mwaka 95 hadi 2000 ya jino kwa jino na ngangari kinoma. Kweli CCM noma!......yaani wameichakachua cuf hadi inatia huruma.
 
CUF ni makahaba wa kisiasa, wapuuzwe tu kama changu doa wengine, wala viongozi wa CDM wasihangaike kujibu upupu wa Lipumba.Kila mwenye akili anajua CUF ni wakala wa CCM.
 
Hafif acha unasaba kwenye mambo ya siasi..haitasaidia kitu..ww kwa akili zako unakubali kuwa viongozi wa cdm ni mafisadi..na wanavunja amani...na jinsi wanavyosumbua viongozi wa serikali kwa ufisadi unafikiri ccm wangewaacha huru..tumia akili ya kuzaliwa inatosha kubaini ukweli...lipumba anatetea ugali wake kwa ccm.
 
Kila iitwapo leo nazid kushuhudia ushndi wa CDM, si ajabu Mkwere akasimama na kultangazia taifa kua sasa mim nimechoka kuongelewa, haya CDM ingien ikulu tuone bas kama mtaiweza nchi hii! Hivi niulze, mbona vyama hv vngne vmeishikia bango CDM, wanaiongea km vle ndo ipo madarakani! Jamen ccm A na ccm B juen kuwa CDM ipo bench, ila tu inajianda kuchukua nafas yake pale mnapokwenda kufa, nachowaomben waachien nafas ikiwa bado ina ahuen kdg, msiharb jamen. Bt endeleen kuipigia campen CDM uku mkiendelea kulhudumia taifa vzr coz mkijisahau tutawazukia huko huko coz HATUSHINDWI!
 
Naona sasa siasa za nchi hii zinaenda kwa majungu tu.yani kila siku ni habari za chama hiki kimesema hili kuhusu chama kile.sasa huyu Lipumba nae ndio anajishushia hadhi kabisa,badala ya kuongea mambo ya msingi anabaki kujiropokea zilipendwa tu,mambo yasiyo na maana.sasa kuichafua chadema inamsaidiaje huyo mtanzania unaedai unataka kumkomboa???sometimes it's a lot better to just shut up than talk and humiliate yourself.too low for a someone who actualy wanted to be president!
 
Anajibu matusi yenu! Endeleeni na matusi na kadri mtakavyoendelea kutakana ndio mtakavyoendelea kujibiwa!
 
Msishangae hao ni tawi la sisiemu. Wameamua kuungana na wala nchi....... lakini hukumu yao inawangojea...... si muda mrefu.
 
Du siasa ni kazi sana
sababu Lipumba ameamua kugaragaza kabisa elimu yake kwa ajili ya siasa za namna hii
 
Hawa ni cuf au chafu? siasa ya cdm imeenda shule ndo maana ikiamua kutesa fisadi ama mpumbavu wa siasa haichagui kama yupo madarakani au la. Lipumba ni kapera aliyeshindwa kuleta maendeleo kijijini kwake ilolangulu (uyui) kwani mpaka leo hata akienda kwao Tabora analala taboa mjini hana nyumba ya kueleweka pale kijijini kwake.
Sasa iweje leo tumpe nchi aijenge kama sio jinamizi lililotumwa kui haribu Tanzania.
 
Prof. Uchwara, with his education what did he do during his tenure as President Mwinyi advisor? au kunywa gahawa tu na majungu, mtu wa majungu utamuona tu, whom does he fight? Deep Green au CDM?

Toka nianze kusikia cuf mwenyekiti ni lipumba, kwa nn asiwaachie na wenzake wajaribu kidogo, au huko cuf yeye ndio great thinker, yaani huyu jamaa hajawahi kusema cha maana, ina maana kweli haoni uozo wa ccm, hivi suala ni mpiga disco au ni deliverables, yeye na vyeti vyake amefanya nini cha maana, shame on him
 
Upenzi ni kitu kimoja, na ukweli ni jambojengine.

Katika watanzania na wanasiasa, wapo wanaoamini katika UMOJA, na wapo pia wanaoamini katika UTENGANO.
Wapo wanaojua nini maana ya Kuunganisha nguvu na wapo wanaodhani hawawahitajii wengine,

Wapo wanaoamini kwamba wako sahihi na mawazo yao ndio bora na wapo wanaoamini kwamba wenziwao siku zote wanafanya makosa na hawapo sahihi....

Ndio maana wanasiasa wa Tanzania hakuna aliyesema kuhusu waliopitiwa na panga la Mh. Magufuli wala kuwattetea.... ndio maana wanasiasa wengi hakuna anaethubutu kusema suala la babu na Tanzania inakoelekea... wengi wamekaa kimya!

Kisha tukitoka hapo tunaanza kuelekezeana vidole... huyu kajamba, yule ametoa haja kubwa! hapana kwenye nafuu UVUNDO MTUPU!
Kwa ujumla wengi wa WANASIASA WA TANZANIA WAMEPOTEZA MWELEKEO... na WATANZANIA WENGI NI WAGONJWA....
 
*Wasomaji wamshambulia (soma maoni yao mwisho)

Na Benedict Kaguo, Pangani

MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakina nia thabiti ya kupambana na ufisadi kutokana kuchochea mgawanyiko wa Watanzania.

Alisema chama chochote cha siasa kilichoshindwa kuthamini matakwa ya wananchi wake hakina nia ya dhati ya kuwaletea ukombozi wa kweli wanaouhitaji Watanzania kwa sasa.

"Ndugu zangu wafanyabiashara na wapiga disko wa Chadema wanataka kuwang'oa mapapa ya ufisadi wa CCM ili wao manyangumi ya ufisadi waweze kuingia madarakani, hawana nia thabiti ya kupambana na rushwa," alisema Profesa Lipumba.>>>Endelea
 
Mfa maji haachi kutapa. Naomba uongozi wa CDM kumpuuza Lipumba. Husikubali kumpa heshima asiyostahili kwa kujibu hoja zake za kipuuzi.
 
Lipumba jamani vipi? Anapoteza mda wa kuijadili CDM, haiwezi. CDM inawakilisha 'nyomi' la ajabu, chama ni support ya watu tu. Lipumba aje na issue ya maana aone kama hajavuta nyomi.
 
Kwa sasa hivi kila anyetaka umaarufu basi anaita vyombo vya habari afu anamention Chadema. lipumba ndo anatokea huko.
CHADEMA mpuuzeni, fanya ka hasema lolote. Mwenzake maalim kauchinja yeye anabaki kulalama. Chenji alizopewa zinaelekea kwisha
 
Back
Top Bottom