Kila aliyemchagua Kikwete sasa ametambua kuwa ni miongoni mwa waiolaaniwa nchini.

Upupu mtupu, hamna lolote zaidi ya majungu tu, mlikatazwa kufanya maandamano? Si fanyeni, mradi msivunje sheria, mkivunja sheria au kuharibu amani mnakula mkong'oto kama wa Arusha au zaidi.
 
Upupu mtupu, hamna lolote zaidi ya majungu tu, mlikatazwa kufanya maandamano? Si fanyeni, mradi msivunje sheria, mkivunja sheria au kuharibu amani mnakula mkong'oto kama wa Arusha au zaidi.

Kweli wewe maji mshindo. Ubongo wako yawezekana ni made of Maparachichi!!
 
kizazi cha waoga kudai haki zao, wanaopenda hotoba nzuri bila vitendo na wanaodhani kukandamizwa na kunyimwa uhuru wao sasa kinamalizika! kizazi kinacho kuja sasa ni hatari kwa viongozi wasanii. KAENI CHONJO HILI NI GHARIKA. jamani watanzania tusikubali kunyanyasika kiasi hiki kwenye nchi yetu ya AMANI. hivi kweli kama ni mmoja wa familia yako ndo kungua hivi sidhani kama uta-support uongozi ulioko madarakani hata siku moja, wako komaslahi na sio kutetea wananchi. TUAMKE TUJIKOMBOE NA TUKOMBOE RASILIMALI ZETU
 
Mie nina uchungu maana nimeona Video ya hizi picha yaani ni huzuni hii. President kesha lamba chake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom