How to use JamiiForums effectively

How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
naomba namba ya M-pesa au tigo-pesa na maelekezo zaid ili nami niweze changia
 
Ndugu wana JF inakuwaje mishahara ya wafanyakazi ilipwe na NMB? Ina maana hazina imefilisika?
 
Hallo jf's! ni muda muafaka wa kunikaribisha na mimi.Mungu awasamehe na awabariki nyote.
 
Hi! nimevutiwa na jamii forum, watu mnapashana habari kisawasawa, mnaelezana kinagaubaga. Hii ni sehemu nzuri sana ya kujifunaza, naomba mnikaribishe nami
 
Hello,naitwa Amina nini miaka 26 nasoma chuo, natafuta mchumba,umri kuanzia miaka 28 hadi 35 awe muislam,awe na kazi,aliyetayari kupima,maelezo zaidi tutawasiliana yoyote aliye tayari.
 
Kwa mara ya kwanza,naungana nanyi wakuu jukwaani kama member mpya wa jamii forum.Naitwa Mat.A student at the UDSM.
 
Sex is a sensation caused by temptation when a man puts his location in a woman's destination. Do u get my explanation, or do u need a demonstration?!
 
Wanajamii mtuelimishe wengine wageni katika mambo haya ya mtandao.
 
Wadau wa jf mimi ni mpya hapa kama zilivyo noti mpya za tz ila mimi co fake kama zilivyo noti mpya, I need to know more on how to use this valuable web...😛anda:
 
Jamani mimi ni mgeni humu ndani. Nimevutiwa sana na jukwaa hili la watu wenye kufikiri na kuona muda sasa umefika wa mimi kuomba nafasi.
Nawakilisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom