Recent content by Kamyogola

  1. K

    JamiiForums Tanzania Simuelewi hapokei simu yangu, akijibu message basi ni kwa kifupi

    Acha uongo bro, Hii thread sio ya mtu aliyechanganyikiwa mkuu; We una akili kabisa; Ushauri wangu huyo mtu mpotezee tu tafuta mwingine
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wachina sio wawekezaji, tutafute jina jingine la kuwaita

    Me naona umetoa mawazo yako tu bro, Acha ku-generalize mambo mkuu; Mbona wapo wawekezaji wazawa wengi tu na ni wezi balaa; kama sio mwizi huwezi fanya nao kazi; wachina nao wana madhaifu yao; We toa hoja yenye mashiko watu tuone hizo fact unazosema hawa jamaa ni wanyanyasaji na sio wawekezaje...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nasaidia wafanyabiashara kununua electronic accessories na bidhaa ndogondogo nchini China

    Mkuu mimi kuna vitu vichache sana nahitaji kutoka china, Sio vya kuuza bali ni vya kusupport shughuli zangu ninazozifanya; Vip unaweza ukanipa utaratibu kwa hilo? Huwa naona items zinazohusiana na kazi yangu huko china ni bei chee kweli? japo used but kvikija hapa vitafaa tu kibongobongo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wengi sana mkuu, ni dhahiri watakuwa wamejeruhiwa na Na utelezaji wa ulimi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua kama NMB kitengo cha ICT waliita interview

    Asante Mkuu kwa taarifa za kiufufuo; Utujuze basi mambo yakikaa vizuri ili angalau tufahamu yanayojiri tu inatosha, hata kama tutamwagwa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua kama NMB kitengo cha ICT waliita interview

    Me mwenyewe niliomba hizo, ila cha ajabu nimeshaitwa kwenye organization nyingine wao bado, Ngoja tusubiri tutapata majibu Kimya kingi kina mshindo mkuu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania TAZARA na ajira

    Mkuu unapokuja humu jaribu kuja na full details ili wakuu wengine waweze kukusaidia; Taarifa haijakamilika hapo, Hainyeshi kazi gani, Unaombaje? Vitu gani vinahitajika n.k Tupia Tangazo hapa usaidiwe kwa usahihi na ubora kabisa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Walter Reed Progam, Tanzania

    We Nenda tuu; Ila hakikisha kila ulichokiweka kwenye CV yako unakifahamu vizuri; usiweke vitu ili kuonesha CV iko nondo kumbe ku-explore huwezi achana kabisa na mbwembwe zisizo na msingi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Peponi Kumegawanyikaje mkuu, Hebu yaweke hapa hayo mafungu kadhaa, na sisi tuyajue
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Faida za Kiufufuo ndo zinanifanya watu wakubaliane na ushauri wako
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tathmini ya nini, wakati kazi zinaonekana wazi?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda

    Uko njia panda? Ok nisubiri hapo nakuja Mkuu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (mwanamke)

    Subiri waje mkuu, wako wengi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wazima kweli nyie mnaendelea kupost, wakati wa mwisho ndo mshindi; Na mimi ndo wa mwishooo,jkhkdgdfiediiuee
  15. K

    JamiiForums Tanzania Walter Reed Progam, Tanzania

    Sema Mkuu umeitwa nafasi Gani, Mie niliitwa IT, Panel yao ilikuwa imesimama ( Wanaelewa mambo) Wanaangalia CV yako kwenye mambo ambayo umeshafanyia kazi, kama yana-match na ya kwao huwa wanataka ufafanuzi kwenye hilo eneo
Back
Top Bottom