Me mwenyewe niliomba hizo, ila cha ajabu nimeshaitwa kwenye organization nyingine wao bado, Ngoja tusubiri tutapata majibuKwa anayefahamu NMB kitengo cha ICT walitangaza nafasi za kazi deadline ilikuwa tarehe 4 mwezi huu, vp wameishaita interview juu kwa juu au tusubiri?
Asante Mkuu kwa taarifa za kiufufuo; Utujuze basi mambo yakikaa vizuri ili angalau tufahamu yanayojiri tu inatosha, hata kama tutamwagwa.NMB bado hawajaita.. taarifa kutoka mtu wa ndani