Wachina sio wawekezaji, tutafute jina jingine la kuwaita

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,098
8,727
Natumai mu wazima wa afya,ndugu zangu, nikili wazi kuwa inilikuwa kifungoni kwa kufanya makosa niliyostaili kifungo katika gereza kuu la JF, nashukuru kwa kupewa dhamana na kesi natumai itatajwa tena mahakamani pale ushaidi utakapo kamilika.

baada ya kukili uko, nichukue fursa hiii kumjuza raisi wa Jamhuri ndugu yangu Broo Magu kuwa wale watu alio waita wawekezaji sio kabsa na kama taifa linataka kukua kiviwanda hawa watu tuwaondoe. hawafai au tuwape majina mengine.

ebu wana JF, wabatize wachina wewe unataka tuwaiteje?
mimi napendekeza tuwaite Ngedero.
 
Hujatoa hoja yenye mashiko kwanini sio wawekezaji. Haya mambo hayataki hasira. toa hoja.
 
ni wanyanyasi, watu wasio penda na kuheshimu haki za binadamu wenzao, ni watu wanao penda short cut yani kufanya kazi na mchina kama ww sio mwizi huwezi fanya kazi nao.
 
ni wanyanyasi, watu wasio penda na kuheshimu haki za binadamu wenzao, ni watu wanao penda short cut yani kufanya kazi na mchina kama ww sio mwizi huwezi fanya kazi nao.
Me naona umetoa mawazo yako tu bro, Acha ku-generalize mambo mkuu; Mbona wapo wawekezaji wazawa wengi tu na ni wezi balaa; kama sio mwizi huwezi fanya nao kazi; wachina nao wana madhaifu yao; We toa hoja yenye mashiko watu tuone hizo fact unazosema hawa jamaa ni wanyanyasaji na sio wawekezaje.
Naona povu linakutoka huku huna hoja nzito juu ya hao jamaa.
 
Back
Top Bottom