Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Mkuu sifa zote unamaanisha nini? Kitu nilicho-note pale kama unasifa zote na experience ya kutosha kwenye taasisi za afya basi unakua kwenye side nzuri, Yaani kama Uhasibu, IT, Administrative, etc.... Kama hizo zote unazo related to Health institution possibility ya kuitwa ni kubwa... Mimi nilienda huko nilichogundua ni hicho, Nilikutana na Rafiki za ngu niliosoma nao chuo wa4, hao wote wanaexperience ya fani yao in health institution, katika story story nikagundua kuwa kuna wengine wawili ambao ndo tumefahamiana pale pale nao walikua na background ya hiyo, Jumla tulikuwa 8. Sikufanikiwa kujua taarifa za hao wengine wawili
Kwa hiyo unaweza ukawa Guru wa masuala ya Administration but kutoka Taasisi za kifedha au za Ujenzi, lakini mwingine ana same certification kama wewe but yeye ana experience kutoka Health institution. Concern yao mtu wa health oriented experience ata-corp mazingira mapema, bcoz background itam-fever Hicho ndo ninachokiona hapo mkuu.
Mkuu nipe details kidogo how the interview inakuwa organised wameniita, nijiandaaje? Jopo lao likoje?