Ushauri Mzuri Sana BG UP.sikiliza moyo wako
Mipango yako ya baadae ni ipi? Kama ni kuajiriwa kwanini upoteze muda wako kwenda jkt ilhali uko guaranteed kuajiriwa ualimu? Soma alama za nyakati mkuu!wasalaaam!
ndugu wana Jf mm nikijana wa Kiume nimemaliza Chuo june mwaka jana Mpka sasa Nasubiri Post za Ualimu 2016, vilevile nimeomba Nafasi ya JKT.
Najiuliza wapi niende UALIMU au JKT.... SIPATI JIBU!!!!!
Am two same face coin.... all are equal
Hapo ndo umemsaidia? Haya nirudi kwa mdogo Wangu anaeomba ushauri, kwanza anza na kwanini ulichagua ualimu na hiyohiyo sababu inaweza kukusaidia wapi uende. Kama hukwenda ualimu kwa kuupenda Ila ufaulu au kipato basi utakua rahisi kwako. Kama ni kipato subiri ajira kwa kutafuta tempo ila kama kwenu familia bora na unapenda jeshi nenda, ukiwa na nidhamu unatoka.Tunaishi bila vision