Nasaidia wafanyabiashara kununua electronic accessories na bidhaa ndogondogo nchini China

Jun 4, 2015
38
26
Kwa wafanya biashara wanaotaka bidhaa ndogondogo kama powerbanks, machine ndogondogo, human hair, bags, kwa jumla. Nawasaidia kutafuta suppliers wazuri wa jumla, kununua vitu na kutuma kwa kutumia meli au ndege kutokana na choice yako. Malipo tuna negotiate kutokana na cost ya vitu.
Wanaohitaji wanaweza kuni text private au

Geddy44@hotmail.com
Nakujibu haraka
Na kwa wafanya biashara wanao enda Yiwu au China kununua vitu ila wanahitaji msaada wa ku translate kichina napo mnkaribishwa
 
Mkuu mimi kuna vitu vichache sana nahitaji kutoka china, Sio vya kuuza bali ni vya kusupport shughuli zangu ninazozifanya; Vip unaweza ukanipa utaratibu kwa hilo?
Huwa naona items zinazohusiana na kazi yangu huko china ni bei chee kweli? japo used but kvikija hapa vitafaa tu kibongobongo
 
Mkuu ingekua vizuri uniambie ni vitu gan, unaweza nitumie message
 
Mambo vp mkuu mm na hitaji vitu kutoka china ila ni viwili tu nishafanya manunuzi nataka kusafirishiwa tu. Nitakulipa naomba msaada wako.
 
Fungua export company huko China ili ufanye hii biashara kihalali, biashara ya Mali kauli enzi hizi ni ngumu
 
Je naweza kupata mashine ya kutengenezea masweta? Isiwe manual, na je inaweza kugharimu kiasi gani?
 
Nitaamini vipi kama hutaweka cha juu ? Mna tabia ya kuchonga dili na wachina waandike proforma ya bei kubwa....Anzisha kampuni lipa kodi China tutakuamini
 
Back
Top Bottom