Recent content by kamajana

  1. K

    JamiiForums Tanzania Utumbuaji: Tuache Siasa Kwenye Professionalism, Sio Kila Mtumbuliwa ni Jipu!

    Ndo kukubaliana na hoja
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wadau nimeacha kwenda chuo mwaka 2016 je ? Nitaruhusiwa kuapply mwaka 2017

    Toa taarifa Nacte then watakutoa kwenye system na baada ya hapo watakuchagua tu provided uwe na qualification
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lema: Lowassa ana Gundu na ni mbinafsi!

    Tannzania tulianza vyama vingi kabla ya mda wetu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Mlambiti wa SUA - Jiwe lililosahaulika

    Prof. Mlambiti ni jembe, nakumbuka 2004 alikuwa anatoa story za kwenda kugombea ubunge 2005 kupitia chama chake flani hivi.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kama mnafikiri Dangote atafunga na kuondoka, think twice

    Dangote anafanya hata watu waache kufanya mambo ya msingi. Katika siasa na uchumi ni ngumu sana kujua ukweli uko wapi ila kama Dangote anataka kuondoka inamaana kuna mawili alidanganywa au alidanganya. Mosi alipoanza tu kabla hata hajakomaa alijinasibu kushusha bei kuzidi hata viwanda...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete: Stashahada ya Juu ya ualimu shule ya msingi yafutwa

    Cheti na Diploma bado zipo zimebadilishwa tu mtoaaji kutoka Wizarani kwenda Nacte ambayo ndo ina mamlaka ya kutoa diploma au vyeti vinavyoambatana na mafunzo kama veta na practical oriented labor force. Kwa hivi vilivyo NACTE ni vyo vingi tu nchini mfano CBE, IFM, TIA, VETA, n.k. Ila kulikuwa na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Malipo ya makosa barabarani

    Hao manesi wanatumwa hesabu kwa siku na usipofikisha anahamishwa kitengo. Siku hizi ni kero. Kosa moja ni elfu 30 so hapo walikupiga mkuu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    you do not feel that girl, achana naye jaribu kwa mwingine uone kama utapatwa na tatizo hilo. be a researcher buddy
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta boyfriend

    mzigo ukoje kama ni chungwa au chenza tujuze pia
  10. K

    JamiiForums Tanzania Meli ya MV Skagit yazama

    Wednesday, 18 July 2012 15:43 digg Meli ya abiria MV. Karama ikiwa na watu 400 toka Dar es Salaam kwenda Zanzibar imezama leo karibu na Kisiwa cha Chumbe, source mwananchi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Namsifu Kikwete kuwekeza katika kujenga uchumi bora wa Tanzania

    barubaru nashaka na hiyo taaruma yako ya uchumi, kasome income inequality and the impact of uwekezaji unazosema then uje ufanye research ndani ya nchi hii na utuambie umepata nini. si kusema tu umeona mabarabara sijuii kwenda wapi mwanza kwani hayo yamejengwa na kikwete???
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania US mombasa travel advisory; concerned group or alarmists?

    One person has been killed and several others wounded in a hand grenade attack on a bar in the Kenyan tourist hub of Mombasa, police say. Sunday's attack comes a day after the US embassy in Kenya issued a warning on the threat of an imminent attack in Mombasa, and Kenyan police arrested two...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kudanganywa na vijana natafuta jibaba

    toa mawasiliano sasa maana naona hapa hakuna njia ya kukupata moja kwa moja. napita tu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    jamaa unaonyesha ulivyolewa uccm, kwani hata wanayosema hauyaoni. kajifunze kiongozi shupavu anakuwa na sifa zipi then ndo uje kusema oooh rais katukwanwa. usipomwambia mtu ukweli na ukarudi kusema pambeni ni sawa na kuwa mshenzi. mnyika did his part so ccm muonyeshe sasa wapi mnyika hakusema...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kujiunga na oic

    haha sisi wazanzibari na wale watanganyika, baadaye yale yale. kwanini tunashindana kwa kuangaliam wingine kafanya nini.
Back
Top Bottom