Zanzibar kujiunga na oic | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar kujiunga na oic

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by miftaah, Jun 20, 2012.

 1. miftaah

  miftaah Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningependa kumpongeza Mh.Raza,mwakilishi wa jimbo la kule kwetu znz, kwa kusema kua znz inayo haki ya kujiunga na OIC, ivi kuna sababu gani znz isijiunge?.....sisi kama wazanzibari tunayoipenda nchi yetu tutafanya Inshaallah kwa njia yoyote tujiunge na OIC na hata kama hao wadaganyika wakikataa na wakatae....
   
 2. M

  Mzenjiberi Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Swadakta! Mkuu Raza anasthiki pongezi. Mimi naona watu wa ajabu hawa wenzetu watamganyika. Wao wamejiunga na Vatican taasisi ya kikatolilki kwa nini sisis tusijiunge na OIC?
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Ungemzikiliza yule Mbunge wako CHOMBOH jana usingepost haya makitu.....amenifunua vizuri kuwa ZANZI maana yake ni nini.....
   
 4. k

  kamajana Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  haha sisi wazanzibari na wale watanganyika, baadaye yale yale. kwanini tunashindana kwa kuangaliam wingine kafanya nini.
   
 5. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Jitahidini mwisho wake mtaweza, msirudi nyuma mpaka mpate haki yenu ya kuwa nchi inayjitegema na kufanya lolote mlitakalo mradi hamvunji amani ya nchi! go zaznibar go !
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  [FONT=&amp] Any State, member of the United Nations, having Muslim majority and abiding by the Charter, which submits an application for membership may join the Organisation if approved by consensus only by the Council of Foreign Ministers on the basis of the agreed criteria adopted by the Council of Foreign Ministers.[/FONT]
  [FONT=&amp]http://www.oic-oci.org/page_detail.asp?p_id=53 [/FONT]

  [FONT=&amp]Sasa mbona Zanzibar sio member wa UN bali Tanzania ambayo haina dini na ambayo Muslims are not of majority [/FONT]
  [FONT=&amp]Na muslim majority wako Zanzibar na sio bara![/FONT]
  [FONT=&amp]Tanganyika was a Member of the United Nations from 14 December 1961 and Zanzibar was a Member from 16 December 1963.
  Following the ratification on 26 April 1964 of Articles of Union between Tanganyika and Zanzibar, the United Republic of Tanganyika and Zanzibar continued as a single Member, changing its name to the United Republic of Tanzania on 1 November 1964.[/FONT]
  [FONT=&amp]United Nations Member States [/FONT]

  [FONT=&amp]Kwenye charter yao OIC wanataka promote Islamic value of which to a non secular state like Tanzania is unwelcomed afterall sidhani kama mnakuwa mistreated![/FONT]
  [FONT=&amp]Alafu tutumie akili kufikilia Vatican ni inchi na OIC sio nchi na Baba Mt Ndio Raisi wake so sisi tuna ubalozi kule kama nchi and not otherwise.[/FONT]
  [FONT=&amp]Kwa hoja za apo juu mpaka Zanzibar ikijitenga na kuwa member wa UN na kwa kuwa Moslems are of majority then mnaweza kuwa member wa OIC.[/FONT]
  [FONT=&amp]OIC wanasema "To respect the right of self-determination and non-interference in the domestic affairs" of which Tz is a non secular and that has to be respected![/FONT]
   
 7. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Hadi ninapoandika taarifa hii ZANZIBAR SIYO NCHI!
   
 8. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Kwanza wewe muongo tena mzandiki, wapi umepata kuwa Tanzania muslims are minority,
  Pili Uganda muslims are not majority mbona wamejiunga,

  Tatizo la nchi hii CHUKI ZA UDNINI ndio zinaitafuna, sielewi kitu ambacho watu wasio waislamu watadhurika vipi kama tanzania itajiunga na OIC sielewi mtadhurika vipi huwa nashangaa sana sana na nashindwa kupata jibu, ni chuki na kujifanya ndio mna nguvu kupita kiasi, subirini mafuta yanatokota jikoni ! yana mwisho haya! coastal area yote tutajitenga na mrudi kwenu mrima !
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
 10. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Tukisema Secular, maana yake ni "[nchi] isiyopendelea dini," na non-secular itakuwa ni ile inayopendelea dini. Tanzania iko wapi hapa? Katiba yetu inasema nini kuhusu dini?
  Ninakubaliana nawe kuwa Zanzibar haiwezi kujiunga kama nchi "Bila ya makubaliano na URT, lakini si kwa sababu TZ ni non-secular. Angalia nchi zifuatazo, zina tafauti gani na Tanzania?
   
 11. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,156
  Likes Received: 667
  Trophy Points: 280
  Acha Ushamba mkuu. Vaticani ni nchi na siyo taasisi. Tofauti ni kwamba ni nchi inayoongozwa na kiongozi wa kanisa katoliki. Leo kama Irani itaongozwa na kiongozi wa dini ya kiislamu je nchi hiyo itakuwa ni taasisi. Halafu ni uongo mkubwa kusema kwama Tanganyika imejiunga na Vaticani. Ukwali ni Kwamba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania in uhusiano wa kibalozi na vaticani kama jinsi tulivyo na ubalozi na nchi nyingine za kidini kama Irani, Saudi Arabia, Sudani kaskazini, n.k.
   
 12. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Well said mkuu
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Na zina unafuu gani baada ya kujiunga kutuzidi sisi?
   
 14. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280

  Hapo kwenye red, sahihisho, Tanzania haina ubalozi Vatcan bali ina ubalozi Rome Italy!!! Ila Vatcan wana ubalozi Dar es salaam. Sasa OIC nao wanaweza kufungua ubalozi kama ambavyo waislam wa TZ wanataka (if possible) badala ya kujaribu kupotosha ukweli. Kitu cha kushangaza wanaofanya hivyo ni wasomi na wanawahadaa waislamu wenzao. Sasa huyo Raza atuambie balozi wetu Vatcan ni nani?? Iran, Saudi Arabia na nchi nyingine za Kiislamu zina balozi zake Rome kama ilivyo TZ na pia zina balozi zake hapa TZ!!

  Kama wanataka tusiwe na balozi za nchi za kidini the balozi za Vatcan, Iran, Saudi arabia, Sudan....... zote tundoe uhusiano wa kibalozi.
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
 16. Atukilia

  Atukilia JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 643
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  nadhani tuangalie maslahi ya kiuchumi zaidi kama yapo, kama hamna tusijiunge kwa sababu fulani yupo. Nadhani tunatakiwa kujiondoa SADC kwa sababu ya mgongano na jumuiya ya Afrika Mashariki au tutoke EAC. Sasa usiseme kwa vile Malawi ni mwanachama wa SADC basi na siye tuwe huko. ni suala la rationalization ya treaty za hizo jumuiya mbili. Halafu kama sikosei waziri wa mambo ya nje alisema tunadaiwa fee ya dola 100,000 AU hatujalipa kwa kukosa fedha, tunavyokuwa kwenye jumuiya nyingi ndio na mzigo wa ada unaongezeka unless zina manufaa ya kiuchumi, tujikumbushe kwanini tulitoka COMESA?
   
 17. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Jiungeni, lakini mlete maendeleo bila ubaguzi.
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  na nyie mnachosha, zanzibaa zanzibaa zanzibaaaa si mjiunge tu...........
   
 19. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,229
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Hizi zote ni kelele za wasiotaka kufanya kazi na bado wanataka maendeleo yaletwe kwa nguvu za wengine, Huyo Raza anasema wakijiunga na oic watajengewa madaraja, barabara etc bure tu yaani bure tu!? huko uganda mbona uchumi wao hovyo kuliko sisis wataka ni wanachama wa oic? au unadhani kwa zanzibar mtapewa upendeleo maalum?

  Acheni kuishi kwa kutegemea misaada, fanyeni kazi kwa bidii Mungu atabariki kazi za mikono yenu. Hakuna msaada wa bure duniani, kila kilicho cha bure kina gharama zake, Waswahili walisema rahisi ni ghali.
   
 20. kalamata

  kalamata Senior Member

  #20
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ......Tujuvye basi ndugu yangu huyo mbunge alisema nini?maana wengi hatukusikia.
   
Loading...