Sakata la Lema: Lowassa ana Gundu na ni mbinafsi!

Wewe hivi unaifahamu HISTORIA ya LEMA kabla ya kuwa mbunge????

Sasa unatafuta nini huko CHADEMA???maana huyu ndiye MGOMBEA wa chama milele na kila mtu analifahamu hili..inasemekana kaweka BONDI ndani ya CHADEMA ya kuwa MGOMBEA uraisi mpaka atakapoomba POO yeye mwenyewe
Mhhhh sijui niulize kazi yake kabla ya Ubunge maana niliyoambiwa miye sijayaamini
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom