Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,984
- 5,705
kaka wanasema abiria 250? chanzo ni clouds fm
usiwaamini hao clouds ...ilipozama ile ya nungwi ile walitoa takwimu za uongo sana
kaka wanasema abiria 250? chanzo ni clouds fm
Jamani chanzo ni nini?
meli hiyo imezama ikiwa na abiria 200.source ITV.
Taarifa zinachanganya sana, wengine wanasema ni jana na Watu wote 200 waliokuwemo inasemekana wameokolewa,
Huku wengine wakisema ni mida hii na imepinduka kabisa!
Hebu tunaomba mtujuze zaidi mwenye taarifa sahihi
Anataka awe wa kwanza kutujuza!!Mkuu kwa nini unasema hii ni breaking news wakati huna taarifa kamili???? Subiri ukishakuwa na taarifa kamili ndo uanzishe uzi.
jamaa angu ananiambia idadi ya abiria ilizidi ile inayoruhusiwa kisheria.
Hakuna mwenye taarifa sahihi mkuu[/B][/COLOR]
Hivi ni meli mbili zimezama? MV Seagull na MV Karama? Ama ni meli moja ina majina mawili?[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]Wednesday, 18 July 2012 15:43
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Meli ya abiria MV. Karama ikiwa na watu 400 toka Dar es Salaam kwenda Zanzibar imezama leo karibu na Kisiwa cha Chumbe, source mwananchi[/TD]digg
[/TR]
[/TABLE]