MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Nilichaguliwa mwaka huu kwenda kusoma diploma of education in science but sina pesa zakuweza kujisomesha nataka nijipange mwakani nikasome certificate of medicine je ? Naweza kuapply na kuchaguliwa maana mwaka huu nimechaguliwa kupitia nacte wasije kugoma kunichagua tena kisa nilichaguliwa mwaka huu msaada wadau au unafanyaje ili wanitoe kwenye system ya nacte ili mwaka 2017 niapply upya ?