Recent content by kalikumtima

  1. kalikumtima

    Wake zetu na Ma-house girls, Kulikoni?

    Naungana na wewe mkuu. Binafsi naona kama wanawake wanakuwa na mtazamo hasi juu ya H/G ambazo hazistahili kuwepo. Nawaona HG kama wafanyakazi wengine wanavyostahili staha. tumesikia HG wakinyanyaswa kuanzia pengine mshahara, socialization na hata mambo mengine mengi tu. mfano kutengwa kula na...
  2. kalikumtima

    Kisa cha Waziri Ngeleja na Mlinzi kwenye ATM

    Rais Kabila wa DRC amemfuta kazi waziri wake kwa kuwa amegombana kwenye public. Tanzania inawapongeza viongozi wanaokiuka maadili.
  3. kalikumtima

    Asilimia 40 ya bidhaa nchini ni feki

    Kwa hili nampongeza Magufuli ingawa hatua zimechelewa kuchukulia. Nadhani watu wengi wa Dar watakuwa wanalifahamu hili tatizo la vibua. watu walikuwa wanapata madhara walipokuwa wakila hawa samaki. Watu wengi walijua ni vibua toka hapa kwetu waliozoeleka. lakini watu walikuwa wanchubuka ngozi...
  4. kalikumtima

    Tra on this you need to change

    Hata kama watu wachache wanafoji document sioni kama TRA wanastahili kugeneralize kuwa kila mtu anayeingiza vitu TZ amefoji documents. Wanatakiwa wawe na system yao ya kuhakiki kama document zimefojiwa au la badala ya kugeneralize na kupiga ramli. Na kama kweli mtu anakuwa amefoji documents kwa...
  5. kalikumtima

    Tido anahama TBC anakwenda kwa Lowassa

    Wamemaliza kutufisadi, wamechukua kilicho chao, wanasonga mbele.
  6. kalikumtima

    Mzee Kawawa afariki dunia!

    Mungu amlaze mahali pema peponi ndugu yetu, babu yetu Simba wa Vita! Amen
  7. kalikumtima

    TUHUMA za nyumba ya Gavana wa BOT na majibu yake

    Tuweke record sawa: i) Epa imefanyika year 2005 and before ii) Professor Ndulu na BOT: - July 2007 to 8/Jan/2008 Deputy Governor - 8/Jan/2008 todate Governor source: http://www.bot-tz.org/AboutBOT/FormerGovernors.asp
  8. kalikumtima

    Sheria mpya ya madini - Muswada

    mmh hata kama sheria mpya itakuwa nayo hayo mambo mzuri, faida kwa Watanzania ni mpaka yawenatekelezwa!! Usishangae utekelezaji kikawa kiini macho.
  9. kalikumtima

    Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

    Ni vema watu tuchangie kwa kuangalia hali halisi iliyopo, na si kwa ushabiki. Hoja walioleta wadau ya kwa kwamba hakukua na utaratibu wa kurejesha mikopo kipindi cha nyuma ni suala la msingi na ndivyo ilivyokuwa. Sitetei watu kutolipa mkopo na sioni mdau aliyechangia kuwa hataki kulipa mkopo...
  10. kalikumtima

    Lukuvi pamoja na porojo zote lakini watoto wanakaa chini??

    Hapo ni Dar es salaam. Nenda vijijini kule. shule inaezekwa kwa nyasi. mvua ikinyesha wanafunzi wanalowa kwa maji ya mvua. mfano hai Geita vijijini binafsi nimeshuhudia kule.
  11. kalikumtima

    Zawadi gani tutampatia JK?

    Tumuombe DPP ampe zawadi kama ile ya kina Mramba na Yona kwa kutumia vibaya nafasi yake ya urais na kuliangamiza taifa. ila yake itekelezwe ili afike keko.
  12. kalikumtima

    JK: Safari za Nje Sasa Basi!

    Niliwahi kusikia kipindi cha nyuma, serikali iliwataka watumishi wa serikali kutokuwa nje ya kituo cha kazi (kuhudhuria warisha, kongamano, nguvu kazi nk) kwa muda usiyozidi siku kadhaa kwa mwaka. Mwenye kumbukumbu sahihi atanisaidia. Lengo hasa ilikuwa kwamba ukiwa nje ya kituo cha kazi lazma...
  13. kalikumtima

    Law Firm software

    Ni vema kama ungeainisha unataka kufanyia nini hiyo software. I mean investigation, case reporting etc.
  14. kalikumtima

    Kikwete afanye nini Kuuokoa Urais wake?

    Anawajua wahujumu uchumi na wala rushwa kwa majina (staff wa TRA na TISCAN) lakini hawachukulii hatua. Fedha kidogo za EPA "zilizorejeshwa" toka kwa mafisadi zinarejeshwa kwa mafisadi kwa hoja ya "kilimo kwanza"
  15. kalikumtima

    Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

    presha hii.
Back
Top Bottom