Tra on this you need to change | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tra on this you need to change

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Njowepo, Jan 1, 2010.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nimenunua gari toka Japan worth 5000usd TRA wanasema iyo sio bei yake while ata Document zangu zaonyesha ivyo.At last they came up with their own price na kunitwanga kodi ya kama 4mil ivi.Na sio mimi tuu kuna friends zangu kama watatu wamefanyiwa the same thing mmoja akahonga bei wakashusha.Ata gari ya kampuni ilinunuliwa used toka Durbai jamaa wamegoma kuaccept a documented price.
  Mimi naona hii inacreate loophole ya rushwa,sijui nchi zingine Uganda whatever price you reproduce as long as uko na supporting document ndio watakayoitumia kukutoza kodi.
  TRA kuna haja ya kufanya mabadiliko bse to me that’s quite unprofessional
  Let the year 2010 be a year of changes and creativity.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwanza hongera kwa kununua gari!

  Lakini pia niweke wazi masikitiko yangu juu ya tabia hiyo ya TRA kukataa legal documents za kununulia gari!...

  Hv mtu anaweza kufoji docs hizo?..Na wao hawana njia yoyote ya kuwasiliana na wauzaji ili kucrosscheck, au ni njia tu ya kuwakandamiza watu?

  Iweje wakihongwa wanakubali illegal docs?

  Hii isipite hivihivi mkuu, jaribu kutafuta haki ilipo, wabipu hata pisisibii!...ebo!
   
 3. b

  bnhai JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2010
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,206
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Documents bwana zinafojiwa vizuri saana. Tena sio huko walikouza bali hapo Bongo na hao maajent. Unamsikia anakuuliza vipi tushushe mzee? Aghhhhhhhhhh!
  Nadhani tabia zetu mbaya ndiyo zimetufikisha hapo. Labda sisi wenyewe tujadili tufanye nini kukomesha hili kabla ya kulaumu TRA
   
 4. kalikumtima

  kalikumtima Member

  #4
  Jan 1, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama watu wachache wanafoji document sioni kama TRA wanastahili kugeneralize kuwa kila mtu anayeingiza vitu TZ amefoji documents. Wanatakiwa wawe na system yao ya kuhakiki kama document zimefojiwa au la badala ya kugeneralize na kupiga ramli. Na kama kweli mtu anakuwa amefoji documents kwa nini hawamfikishi huyo mtu kwenye vyombo vya sheria maana kwa ufahamu wangu mdogo kufoji documents ni kosa la jinai ambalo mhusika anatakiwa achulikuwe sheria.

  Wakati mwingine inachekesha mtu wa TRA anataka eti umwambie ni wapi yeye anaweza kupata kitu kama hicho (say gari) kwa bei hiyo. Goshiiiiiiiiiiiiiiiii.

  TRA wanatakiwa wabadilike na siyo kujisifia eti tumevuka malengo wakati wanamuonea MTZ wa kawaida na kuwaachia vigogo wakikwepa kulipa kodi stahili.
   
Loading...