Tumpe tu kamusic system and some CDs of bongo flava ataenjoy sana najua mzee wetu anapenda sana hivi vitu, kiwezeka na kabinti kamoja alikocopiti kwenye umiss Tz 2009.
Aha!! Aha!!! mimi napenda stail ya kwake ya Uongozi wake kwani hakuna Rais kama huyu alivyoongoza vyema ila tu ameshindwa kuwafunga mafisadi ambao ni rafiki zake. Kwani nyuma ya Pazia na yeye anahusika sasa akiwahukumu na yeye atawekwa ubaoni. Hongera Rais wetu kwa kutuongoza vyema staili yako ambayo inahitaji muda wanainji wajifunze ili waweze kuboresha maisha yao kwani katika sera zako walifikiri utawaletea ugali mlango ndo maana wanakuandika vibaya mshindwa kwa jina la Yesu kristo.
Tumuombe DPP ampe zawadi kama ile ya kina Mramba na Yona kwa kutumia vibaya nafasi yake ya urais na kuliangamiza taifa. ila yake itekelezwe ili afike keko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.