Recent content by kalakata

  1. K

    Airtel kwanini Tanzania na sio Kenya

    Acha kutukana watu hovyo ww watu wengine wamepata ajira hapo kwakufaulu interview bila hata kumjua mtu na wanapiga kazi ile mbaya, uki-generalized unakosea bana!
  2. K

    kuchonga,kurenew na kusajiri laini.......

    Ni pm namba yako nikupe laini ya airtel ambayo inauwezo wa kusajili, kurusha vocha na kuchonga line ila kama upo dar
  3. K

    Ratiba ya hukumu kesi za ubunge

    Kama watahukumu kwa haki basi imekula kwa CCM ila magamba walivyokuwa washe***** sidhan kama M4C tutakuwa na chetu, cause hata msimamizi wa uchaguzi ametoa ushahidi kuwa alilazimishwa kumtangaza mshindi na bosi wake ambaye hakumtaja ila mshindi sahihi ni peoooooplessssss powerrrrrrrr!!!!!
  4. K

    Wanafunzi wa chuo cha Mkwawa wafunga barabara huko Iringa

    Kaka iringa sasa ni moja kati ya mikoa inayoendelea kwa kasi sana! Hata vile viwanja vya makanyagio vya laki huwezi kupata sasa ni mil 3 mpaka 7 so na rami wameweka sehemu nyingi sana!
  5. K

    Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

    Jamani mwenye ujuzi na bei za mashine za carwash, aina na bei zake naomba msaada wa kunijuza hapa jamvini
  6. K

    Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

    Jamani mwenye ujuzi na bei za mashine za carwash, aina na bei zake naomba msaada wa kunijuza hapa jamvini.
  7. K

    Kwa waliosoma Tosamaganga: Hivi muasisi wa maneno yafuatayao ni nani?

    Dah mmenikumbusha mbali sana, dogo Fubu upo? Me nimemaliza pale 2004 nasikia mama mingoi alikufa na kuna dogo fulani hv alikuwa na kashfa ya kuwala*w*t watoto wa middle school pale tosa sijui ishu yake iliendaje mahakamani! Bt I we'll plsed with that thread du ni kitambo sana
  8. K

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Mkuu malila nilikuwa naomba kujiunga na umoja wenu wakibihashara hasa wakupanda miti je nitafanyaje! Tafadhali naomba unijibu!
  9. K

    wakuu naomba mnijuze bei ya mashine ya presha ya kuosha gari

    Wakuu naomba wenye ufahamu wa kuhusu bei ya msahine ya kuoshea gari kwani nataka kufanya bihashara ya carwash
  10. K

    Kisa cha binti mzinifu na kauli za viongozi wa CCM

    Kweli kaka umeweka mawazo katika nyanja nyingine kabisa! But all in all kugundua mzinifu siyo lazima tutumie njia moja sanduku la 2010 ndio njia ambayo pekee itatufanya tumjue mzinifu
  11. K

    Kama wewe Ni Mwanamke....mara ngapi...na kama wewe ni mwanaume, mara ngapi.....????

    Du me wife alishaniabiaga mara moja tu kama miaka miwili iliyopita ila uwa naona matendo yake akiwa anataka mara anasema leo naenda kulala mapema ooh mara naogopa ndani kwenda peke yangu niliona kama kuna mjusi hv na kama bahati mbaya zote zimefeli hz trick ukilala she must start kukurushia...
  12. K

    BBC NEWS: Boy in China sells kidney for ipad 2 and a laptop

    Its that necessary mmpaka tunafikia hapo
  13. K

    Naona aibu kuishi kwenye nchi tajiri wakati mimi ni masikini!!

    Yaani hapo pa watanzania kuchangia umasikini wa taifa ndio lipop tatizo letu! Magamba sawa wanahisa kuchangia katika hili ila mafasiliteta ni sisi wananchi! Let wake up ndugu wananchi "let do our part then force other part of goverment to work on it" siyo kulalamika tu kila kitu serikali kwan...
  14. K

    Naona aibu kuishi kwenye nchi tajiri wakati mimi ni masikini!!

    Yaani hapo pa watanzania kuchangia umasikini wa taifa ndio lipop tatizo letu! Magamba sawa wanahisa kuchangia katika hili ila mafasiliteta ni sisi wananchi! Let wake up ndugu wananchi "let do our part then force other part of goverment to work on it" siyo kulalamika tu kila kitu serikali kwan...
Back
Top Bottom