wakuu naomba mnijuze bei ya mashine ya presha ya kuosha gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wakuu naomba mnijuze bei ya mashine ya presha ya kuosha gari

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kalakata, Apr 6, 2012.

 1. k

  kalakata Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba wenye ufahamu wa kuhusu bei ya msahine ya kuoshea gari kwani nataka kufanya bihashara ya carwash
   
 2. m

  majogajo JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  inakuwaje mashine hiyo?
   
 3. mabwana

  mabwana JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 282
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  machine ziko tofauti kwa ukubwa na pressha
  lakini kwa hapa unapata kuanziaa $200, za ulaya sio china
   
Loading...