Kwa waliosoma Tosamaganga: Hivi muasisi wa maneno yafuatayao ni nani?

Dah mmenikumbusha mbali sana, dogo Fubu upo? Me nimemaliza pale 2004 nasikia mama mingoi alikufa na kuna dogo fulani hv alikuwa na kashfa ya kuwala*w*t watoto wa middle school pale tosa sijui ishu yake iliendaje mahakamani! Bt I we'll plsed with that thread du ni kitambo sana
 
Back
Top Bottom