Airtel kwanini Tanzania na sio Kenya

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
167
Ndg zangu speed ya airtel ikizidi kuwa ndogo na gharama zake za internet zikizidi kupanda kwa wa tanzania, WAKENYA (airtel kenya) wanaendelea kufurahia speed kubwa na gharama nafuu za internet ikiwa unlimited. Swali ndg zangu tufanye nini kukomesha huu uhaini wa airtel, je mamlaka ya mawasiliano tanzania (tcra) inafaida gani kwa watanzania?
 
Mbona Speed ni ya kasi... na bei yake ni poa 2500/- unanyonga MB 400. Kuanzia saa sita ya usiku hadi saa kumi na mbili alfajiri buuuuure bileshi.
 
Airtel Tanzania wameajiri watoto wa wakubwa, vi sista du na ma bongo fleva wenye vichwa upepo.
hawajui lolote zaidi ya kusubiri mishahara kufanya promotion shows na kutoka out weekend.
Ajira za vichwa nazi hawa ni ili kampuni hizi za simu, ikiwemo Vodacom( mwamvita), zipewe upendeleo hata huduma zikiwa hovyo na wakikwepa kodi.
 
Ni kweli kabisa, nilikuwa huko jana, internet ina speed sana kuliko ya kwetu hapa TZ, si unajua nchi hii haina mwenyewe. Makampuni yote ni wizi tu.
 
Airtel Tanzania wameajiri watoto wa wakubwa, vi sista du na ma bongo fleva wenye vichwa upepo.
hawajui lolote zaidi ya kusubiri mishahara kufanya promotion shows na kutoka out weekend.
Ajira za vichwa nazi hawa ni ili kampuni hizi za simu, ikiwemo Vodacom( mwamvita), zipewe upendeleo hata huduma zikiwa hovyo na wakikwepa kodi.

Hizo chuki binafsi ungezielekeza kwa Shetani Ungekua juu sana Mpinga...
 
nadhan mtoa mada hujafanya ur homework, unapoleta mada ya ulinganifu wa bei plz taja na garama unazolinganisha sio kusema tu mbona kule cheap huku ghali usije onekana una wivu usio wa lazima!
 
Watanzania tunapenda sana majibu mepesi,ajabu hata waliopita shule nao wameishia kukimbilia kusema ufisadi huku wengine wakiimba wimbo wa Freemason.
Kenya bei ziko chini na huduma ni nzuri kwa sababu wana-enjoy economies of scale,uchumi wao ni mkubwa kuliko wetu na pato la mwananchi ni kubwa kuliko la kwetu.Hivyo Kenya wana-effective demand kubwa kuliko sisi.Sometimes tusikimbilie kulaumu kampuni zinazofanya biashara Tanzania kwani mazingira ya biashara ni magumu.Bado kuna watu wengi tunapenda na kuendekeza sana vitu vya bure-free riders ni wengi mno,angalia 'Wasomi' wetu wa vyuoni na shuleni walivyojazana mtandao wa Tigo ilhali huduma ni mbovu,Wenzetu Kenya kuna mtandao wa YU ni bure kabisa lakini bado umekosa wateja kabisa kwa sababu watu si tu kwamba wanataka huduma bora bali wako tayari na wana uwezo wa kulipia.Shida ya Tanzania ni volume ya wateja wenye uwezo wa kulipia quality service kuwa ndogo kulinganisha na wenzetu wa Uganda na Kenya.
 
Ulinganifu wengine bana yaani mpaka nimecheka.Kwa nini msilalamike kenya kwa sababu gani wanauchumi mzuri.Ndo utapata jibu wacha kukumbilia gharama na speed ya internet bila kuangalia factors behind.
 
Watanzania tunapenda sana majibu mepesi,ajabu hata waliopita shule nao wameishia kukimbilia kusema ufisadi huku wengine wakiimba wimbo wa Freemason.
Kenya bei ziko chini na huduma ni nzuri kwa sababu wana-enjoy economies of scale,uchumi wao ni mkubwa kuliko wetu na pato la mwananchi ni kubwa kuliko la kwetu.Hivyo Kenya wana-effective demand kubwa kuliko sisi.Sometimes tusikimbilie kulaumu kampuni zinazofanya biashara Tanzania kwani mazingira ya biashara ni magumu.Bado kuna watu wengi tunapenda na kuendekeza sana vitu vya bure-free riders ni wengi mno,angalia 'Wasomi' wetu wa vyuoni na shuleni walivyojazana mtandao wa Tigo ilhali huduma ni mbovu,Wenzetu Kenya kuna mtandao wa YU ni bure kabisa lakini bado umekosa wateja kabisa kwa sababu watu si tu kwamba wanataka huduma bora bali wako tayari na wana uwezo wa kulipia.Shida ya Tanzania ni volume ya wateja wenye uwezo wa kulipia quality service kuwa ndogo kulinganisha na wenzetu wa Uganda na Kenya.

duuuh kenya noma wanakataa vya bure,
 
Airtel Tanzania wameajiri watoto wa wakubwa, vi sista du na ma bongo fleva wenye vichwa upepo.
hawajui lolote zaidi ya kusubiri mishahara kufanya promotion shows na kutoka out weekend.
Ajira za vichwa nazi hawa ni ili kampuni hizi za simu, ikiwemo Vodacom( mwamvita), zipewe upendeleo hata huduma zikiwa hovyo na wakikwepa kodi.

Acha kutukana watu hovyo ww watu wengine wamepata ajira hapo kwakufaulu interview bila hata kumjua mtu na wanapiga kazi ile mbaya, uki-generalized unakosea bana!
 
Inaweza kuwa kweli bse am told ata DSTV ni ivyo ivyo wametuona sisi Nyangau sijui
 
ndugu zangu kumbukeni kampuni hiyo ni ya wahindi na kma mjuavyo muhindi kwa ujanja ujanja wakuiba kwa kutumia hesabu hajambo... tusipokuwa makini nchi itaendelea kuwa shamba la bibi
 
Back
Top Bottom