kuchonga,kurenew na kusajiri laini....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuchonga,kurenew na kusajiri laini.......

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by majogajo, Apr 28, 2012.

 1. m

  majogajo JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  pole kwa usumbufu niwapao kila leo, lakini yote hii ni katika kuelimishana na kupunguza misongamano ya kwenda kuulizia mahala husika kila ck, leo nahitaji nijue procedures za kufuata ili kuwa wakala mwenye kuweza kuchonga line, kurenew line na kusajiri line, kurusha vocha. maana nimekuwa nikiona vijana wengi wanapiga hiyo mishe nami nataka niiweke katika ka kioski kangu.
   
 2. m

  majogajo JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  poleni kwa usumbufu niwapao kila leo, lakini yote hii ni katika kuelimishana na kupunguza misongamano ya kwenda kuulizia mahala husika kila ck, leo nahitaji nijue procedures za kufuata ili kuwa wakala mwenye kuweza kuchonga line, kurenew line na kusajiri line, kurusha vocha. maana nimekuwa nikiona vijana wengi wanapiga hiyo mishe nami nataka niiweke katika ka kioski kangu. hii ni kwa mitandao yote.
   
 3. k

  kalakata Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni pm namba yako nikupe laini ya airtel ambayo inauwezo wa kusajili, kurusha vocha na kuchonga line ila kama upo dar
   
Loading...