Recent content by Kaka K

  1. Kaka K

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa T.B Joshua kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Nimeona matukio yaliyowahi kutabiriwa na huyu TB Joshua hapa SCOAN | The Synagogue, Church Of All Nations | Foreign Journalists Ya kuhusu uchaguzi wa Tanzania sijaione, landa itawekwa baada yakutimia. Siri ya Mungu ni kubwa sana.
  2. Kaka K

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: From ITV to TBC1

    Hongera Jerry kwa kurudi TBC. Kwa wale waliosahau, huyu jamaa alianza kufanya kazi za media pale ATN (mbezi) akiwa anaongoza kipindi cha vijana. Baadae alihamia TVT huko alikuwa na kipindi flani (nimesahu jina) ila alikuwa anasafiri sana mikoani na kufanya mahojiano na watu mbali mbali...
  3. Kaka K

    JamiiForums Tanzania Bonjour

    Adakah anda bercakap malay?
  4. Kaka K

    JamiiForums Tanzania Ajali ilivyokuwa same

    Pole sana aisee, ila kheri mmefika salama japo kwa mashaka mashaka. Nchini kwetu kuna aina kama bili hivi ya wafanya biashara (kusafirisha abiria):- 1. Kuna wale wanaofanya biashara hiyo kwa utaalam (namaanisha professionally). Hawa hata staff wao huwa naona wana maadili na wanaheshimu kazi...
  5. Kaka K

    JamiiForums Tanzania Wakili maarufu mbaroni kwa rushwa

    Kazi nzuri...ila tu mbona mnachagua kazi...au zile zingine hazina ushahidi?
  6. Kaka K

    JamiiForums Tanzania Here is a help to pass interviews

    Alternatively: To successfully answer such a question: First, you need to have an insight of how much is the official salary for the post. For example, Governments, UN and other similar Organizations have standard salary scales. However, if its kind the Organization/Company does not have some...
  7. Kaka K

    JamiiForums Tanzania CISCO group

    Karibu sana. As kuhusu cisco..unamanisha Cisco Systems au?.....kama ndivyo mi binafsi sijawahi kusikia, labda unaweza kudokeza nini malengo yake kwa mfano ukiianzisha...nadhani kuna watu wengi tu wamefanya CCNA/CCNP course lakini pia wapo wenye uzoefu wa kutosha na hizo vifaa.... Asante
  8. Kaka K

    JamiiForums Tanzania Website ya Waziri mkuu

    Designed and published by DataVision International (T) Ltd (http://www.datavision.co.tz)
  9. Kaka K

    JamiiForums Tanzania Breakthrough

    wacha aisee hii mambo hakuna kitu hapo....utapigwa bao na naija boys! take care
  10. Kaka K

    JamiiForums Tanzania Mmemsikia Kikwete......?!

    Hata ikiwezekana nani wa kusimamia hiyo sheria?....naamini kabisa sheria zilizopo zikisimamiwa kwa ukamilifu hii itapungua kwa silimia kubwa sana.... mpaka siku siasa itakapo acha kuingilia kila jambo ndo tutaona maendeleo...vinginevyo kufa kama kawaida tu....kisha gov itatoa rambi rambi.
  11. Kaka K

    JamiiForums Tanzania AY arudi shule; kujiunga na chuo fake?

    Kwanza, NCC ni kitu gani? Recognitions NCC Education works closely with universities to offer an affordable way of getting an internationally recognised qualification. The International Degree Pathway offers a selection of programmes that lead to UK degrees and masters. The unique pathway...
  12. Kaka K

    JamiiForums Tanzania Kibaka aduwaza walinzi Ikulu

    kama jamaa alikuwa tayari amesha ingia ndani...ni ishara tosha kuwa alikuwa na uwezo wa kuingiza kitu chochote...mfano bomb amabalo linaweza kulipuka badaea sana mkuu akiwa ndani na walinzi wake. Kazi ya ulinzi tena kumlinda mkuu wa nchi ina involve mambo mengi sana zaidi ya hilo la kumwangalia...
  13. Kaka K

    JamiiForums Tanzania Kibaka aduwaza walinzi Ikulu

    Most likely jamaa alikuwa kazini
  14. Kaka K

    JamiiForums Tanzania Africa and Rwanda: From Crisis to Socioeconomic Development

    Habari wakuu, Nimevutiwa sana na public speach ya President Paul Kagame aliyo itoa May 28 mwaka 2008 nchini Singapore, nikaona ni muhimu na ninyi muone na kusikiliza pia. YouTube - Africa and Rwanda: From Crisis to Socioeconomic Development Weekend njema.
  15. Kaka K

    JamiiForums Tanzania Hey jf members!!!! I'm a new comer

    Hi Kifaru, Karibu sana
Back
Top Bottom