Karibu saana hapa ndio Jamii Forums The Home of Great ThinkersHey dears! naomba mnikaribishe ktk jukwaa hili la wastaarabu maana nimevutiwa nalo!
Hope mtanifungulia mlango
Asanteni wapendwa! nafurahi kujoin na nyie! nawatakia friday na coming weekend njema!
Je te souhaite un temps merveilleux dans ce forum
wafaransa wakiingia hapa watafurahi sana,ukoloni huu kazi kweli kweli.bonjour!,
vous êtes la plupart du temps le monsieur/dame bienvenus. c'est JamiiForums, la maison de grands penseurs !.
de nouveau, bienvenue.
karibu sana.
Hey dears! naomba mnikaribishe ktk jukwaa hili la wastaarabu maana nimevutiwa nalo!
Hope mtanifungulia mlango
Umeyataka mwenyewe, sijui mr...sijui miss, utajua mwenyewe bana!Hicho kihindihndi ulichoanza nacho kimeishia kwemye Bonjour tu eeh?Humu kuna watu wanajua hadi mlio wa diclorodiphenyltrichloroethanyl!Karibu polepole, usiwachokoze watu!
napenda hiyo title yako ungeandika kwa kiarabu..................Hey dears! naomba mnikaribishe ktk jukwaa hili la wastaarabu maana nimevutiwa nalo!
Hope mtanifungulia mlango