CISCO group

gerryville

New Member
Aug 4, 2009
1
0
hi my people! mambo! nilikuwa nataka kujua kama hapa dar es salaam kuna group yoyote ya cisco, na hyo group inaitwaje?
 
hi my people! mambo! nilikuwa nataka kujua kama hapa dar es salaam kuna group yoyote ya cisco, na hyo group inaitwaje?

Karibu sana.

As kuhusu cisco..unamanisha Cisco Systems au?.....kama ndivyo mi binafsi sijawahi kusikia, labda unaweza kudokeza nini malengo yake kwa mfano ukiianzisha...nadhani kuna watu wengi tu wamefanya CCNA/CCNP course lakini pia wapo wenye uzoefu wa kutosha na hizo vifaa....

Asante
 
Kazi nimeimaliza,Nazani kuaznia leo jumanne mchana,Website(Forum) itakuwa hewani baada ya Alpha Test,Kwa sasa hii forum itakuwa ni source a kila information unayoitaka.Humo utakutana na mageek wa IT toka pande zote za dunia hii.
Tuliahidi na sas Tumetekeleza.
 
Hellow guys i am matagasia i am glad i have joined Jamiiforum home of great thinkers hope i will benefit one or two of things from this forum
 
Jamii forum idumu na idumu,Inatuwezesha ukutana na kupanga mambo ya maana ,hii ni Mama.
Mkubwa ile website ya watu wa IT imekamilika na nadhani itakuwa ni mtoto mwema wa Jamii forums, Unaweza kuigonga hapa
 
Last edited:

Similar Discussions

Back
Top Bottom