Recent content by Kaka deo

  1. K

    Live on TBC1: Hotuba ya Rais mwisho wa mwezi Machi 2013

    Ndugu wanajamii katika hotuba yake ya Mwisho wa mwezi akiongelea juu ya mgogoro wa udini na zaidi akielezea juu ya mgogoro wa uchichaji mh. rais ahoji mbona kuna mabucha ya nguruwe watu hawapigani.?
  2. K

    JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

    nchi zipi izo ndugu, acheni udini mbona mambo hayo yanaweza kufanyika katika dini zenu kama shida ni kufahamu mpo wangapi? mbona hamna mifumo ya kueleweka ninyi bana msiwe kama watoto leo analilia pipi hajapata anataka mandazi
  3. K

    Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

    mbona ccm mlimchagua mganga wa kienyeji huko tanga, eti prof. maji marefu. inaonyesha jinsi gani ushirikina ulivyojuu ndani ya chama chenu. poleni sana
  4. K

    Picha: Hali Inavyotisha Hospitali ya Muhimbili

    namshukuru Mungu nilikuwepo kwenye maandamano lkn tbc ndio hajaonesha nguvu zetu hata kidogo, na vijana wenzangu tujitoe katika harakati za ukombozi katika utawala huu dhalimu
  5. K

    Hivi jamani tbc walikuwepo kwenye maandamano ya wanaharakati wa haki za kibinadamu... Kazi ipo

    Safari ya ukombozi ni ndefu sana, mpaka tufike kazi ipo
  6. K

    Dr. Ulimboka; live radio sauti

    safi sana kiongozi, wataisoma tu namba yako
  7. K

    Wabunge wa CCM wakataa Kuunga Mkono hoja ya Kujadili Mgomo wa Madaktari

    kimsingi wanao ua wanchi ni serikali na si madaktari, kitendo cha kuwaacha madaktari waendelee na mgomo na kushindwa kutatua matatizo yao kwa njia ya majadilliano ni dharau kwa wananchi tuliowapa dhamana ya nchi yetu.
  8. K

    Maandamano ya Amani Nchi Nzima

    ni simple sana kuanzisha mogomo na maandamano nchi nzima
  9. K

    Makinda: Waandishi wa habari wanapotosha suala la Posho

    hawana adabu hata kidogo, tatizo hawafaham the role of political rulers in the society, kasi ya mgomo ya madaktari ni ya kujiuzuru na nilitegemea leo ndio ingekuwa hoja ya kwanza mezani, lakini wanaleta katuni kweli issue zinazo umiza watanzania wenzetu, na tulivyo wajinga watz tumekaa kimya as...
  10. K

    Strike by Tanzania Doctors, what should be done

    wakati huo wagonjwa wako pending, na kifo umekizuia.
  11. K

    Mgomo wa Madaktari hautaisha kwa vitisho na Dola; ni kwa Makubaliano tu!

    ujue kuwa watu hawakumchagua, la sivyo angekwisha rudi mapema.
  12. K

    Dr. Noordin Jella: Msomi anayegongana na TISS aja na vitabu vipya!

    U may kill people, burn books bt da truth will remain"
  13. K

    Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

    kwa msaada Pengo ana Phd kabla hujazaliwa"
Back
Top Bottom