Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

mbona ccm mlimchagua mganga wa kienyeji huko tanga, eti prof. maji marefu. inaonyesha jinsi gani ushirikina ulivyojuu ndani ya chama chenu.
poleni sana
 
ha ha ha ha ha ha,mamaaaaaaaaaaa!huu ni msiba wa kitaifa
 
kelele zote hizo na matusi ya reja reja kumbe jamaa mweupeeeeeeeeeeeeeeee,kaaaaaaaazi kweli kweli
 
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Ikizu Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]O-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1992[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1995[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 4"] sasa huyu ndio sawa na wabunge 30 wa ccm ?naamini mwenyekiti aliteleza[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
jamaa ni mwepesi kweli kweli,naona ushindi wake ulitokana na makosa ndani ya magamba kwa hiyo watu wakapiga kura ya hasira
 
Mkapa, jk, lowasa, ana kinda, ndugai, nape, etc wamesoma lakini nafuu wangekua vipofu kuliko kua na macho yalioona noti na kusaliti 'justice' . Nafuu kutosoma kuliko kusoma na kukiuka misingi ya HAKI.
 
kelele zote hizo na matusi ya reja reja kumbe jamaa mweupeeeeeeeeeeeeeeee,kaaaaaaaazi kweli kweli

Mkuu huyo Vicent Nyerere ndio kichwa ndani Chadema ndio maana wamempa ukampeni meneja.
 
kwani kuna ulazima wa mtu kuandika kila kitu kwenye cv yake come on guys tufunguke fikra!
 
wote magamba tu...mnafirw.....aaaaaaaaaa......hyo si cv ya V.NYERERE KWANI UNADHANI HATA KAMA ALIRUDIA SHULE ANGESHINDWA KUTOONESHA HUO URUDIAJI??AFU HATA KA INGEKUA NDIVYO....MBONA HATA MI NNA KADEGREE KA UDOM WAKATI NIMERUDIA MARA 2 MSINGI??NA KURUDIA KWANGU HUKO HAKUONEKANI KWENYE CV ZANGU....MADUDU MAGAMBA NYIE ...AKA COLD DOGS
 
[SIZE=+1]In 1908 Albert Einstein became a lecturer at Bern University, where he made attempts to extend his special theory of relativity. After his resignation from the patent office, he became professor of physics at the University of Zurich in 1909. Next he moved to Prague University in 1911, and in 1912 produced his general theory of relativity, before taking up a chair at the Swiss National Polytechnic in Zurich.[/SIZE]
[SIZE=+1]In 1914, he took up the directorship of the Kaiser Wilhelm
[/SIZE]

Mkuu kweli unaweza kutolea mfano Vicent Nyerere na Albert Einstein:crazy:

sasa kama naye ana elimu kama V.Nyerere
 
Hivi kuna mtu na akili yake anatetea hili dongo la mwaka
 
huyu jamaa alishinda kwa sababu ya jina la baba wa taifa,ni m wepesi mno ktk cv yake
 
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Ikizu Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]O-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1992[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1995[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]
[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 4"] sasa huyu ndio sawa na wabunge 30 wa ccm ?naamini mwenyekiti aliteleza[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Humjui Vicent vizuri! Jamaa hana shule sana but he has a sharp brain! Ana uelewa mkubwa sana wa Mambo, ana exposure kubwa sana kwani ni mfanya biashara mkubwa! Huwezi mfananisha na wabunge wa CCM ambao kazi yao kukubali kila kitu cha serikali, Nakwambia wabunge wa CCM raisi akiwaita wajinga wanapiga makofi kushangilia!
 
mbona ccm mlimchagua mganga wa kienyeji huko tanga, eti prof. maji marefu. inaonyesha jinsi gani ushirikina ulivyojuu ndani ya chama chenu.
poleni sana

Hahahhah mmenikumbusha na ule ukumbi wake wenye tiles juu na madirisha ka ya segerea !
Kweli nyani haoni..............
 
Bora mwenye elimu ndogo lakini hoja zake zikaeleweka. Wananchi jimboni hawahitaji PHD bali huduma sera zinazotekelezeka. Mbona Dr. nchimbi alikimbia na sanduku la kura Songea?? au naye (u Dr) ni wa kuibia??
Hebu tufike sehemu tujadili mambo ya msingi ya kuwasaidia wananchi na sio huu ***** wa CV.
 
Hili swala la Kifo cha Mwalimu nadhani lilikuwa linakosa mtu wa kuliamsha tu lakini lina maswali mengi sana. Kuna siku wakina Hojatete na Mama Porojo mtalikimbia hili jukwaa kwa kumtetea Mkapa. hata siku ile EL anamsulubu mkuu wa kaya kwenye kikao cha CCM, mwenyekiti mstaafu alionekana akitabasam kufurahia ugomvi ule. Si mwema kama tunavyomfikiria na akiendelea kuleta ugomvi wa mawe wakati anaishi kwenye nyumba ya vioo, ataisoma habari yake. Lets wait and see
 
Mkuu embu weka na cv ya abdu mtekete yule mbunge wa kilombero hapa kwenye jamvi tuone mkuu wangu. Naskia hajamaliza la primary.
 
Nafuu huyu aliyeweka ukweli kuhusu Elimu yake. Anastahili kupongezwa. Je unayakumbuka majina ya Kainerugaba Msemakweli? Kule kwingine wapo hata mawaziri wenye shahada feki, lakini wanaenedelea kutukuzwa.
 
huyo vicent anaonekana ni mtu wa matusi tupu kwa sababu cv yake tu inaonyesha amesoma shule tatu (3) msingi ambazo zote zipo hapo hapo musoma mjini inaonekana hana nidhamu.

aisee hajamfikia lusinde aka kiberenge
 
Back
Top Bottom