Dr. Noordin Jella: Msomi anayegongana na TISS aja na vitabu vipya!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,996
Kwa maneno yake:

Tangu nilipofukuzwa Mzumbe niliwekewa caranteen ya kutoajiriwa popote Tanzania, mali zangu zote na haki zangu zote zilikamatwa nikaambiwa si zangu, publication zangu zote zikapigwa marufuku kuchapishwa popote Tanzania, nikajaribu nchi za jirani kama Kenya na Uganda nikakuta kwamba ni mtandao mmoja (One East Africa Mafia Net Work).Nikanusurika kuuwawa Nairobi (kama nilivyokusimulia wakati ule).

Nikarudi Hapa Bongo nikaendelea kubangaiza hapa na pale na huku nikiendelea kumalizia vitabu vyangu ambavyo nilishavianza, kwa bahati nzuri vitabu vyangu sita (6) nilivyokuwa nimevipeleka kuchapishwa kwa Lambert Academic Publishing ya Ujerumani wamevikubali na vitabu vitatu tayari vimeshakuwa published na vipo kwenye mtandao wa Google na Amazon vinauzwa.

Kitendo hicho hakijawafuhisha Usalama wa Taifa na sasa hivi nawindwa niuwawe, nimekoswakoswa kutekwa nyara mara mbili, na ninavyoona hivi sasa wana mpango wa kuniuwa, aidha kwa kunipiga risasi au kuniteka nyara wakanipige na kuninyonga. Nimeshawekewa sumu mara tatu, Sofia House Hotel mara 2, na Tanco Hotel mara 1.

Asante sana
Dr. Jella

Baadhi ya Vitabu vyake:

The Concept of intellectual property Rights and Pirates: IPR, Violation and Consequences by Noordin Jella (Paperback - Mar. 2, 2011)
Nowadays, the Intellectual Property Rights (IPR) has becoming the burning issue and ambiguity problem to solve in all spheres of Social-economical activities. The practice of product counterfeiting or intellectual property rights theft of high visibility, strong and prestige brand name goods is a serious and rampant problem. The culprits committing such crimes came from the biggest to the smallest of countries. This book, therefore provides the intensive knowledge on the concept of IPR, counterfeiting, prates, anti-counterfeiting, trade mark, patent, copyright licensing, design right, copyright ownership, moral right, false attribution, the IPR in Agro-Biotechnology, the IPR and foreign direct investment in emerging markets, the measures on violations of IPR laws and consequences. This book is therefore written specifically for students of all colleges and universities, lecturers, academicians, researchers, lawyers and laws makers, consultants, entrepreneurs, artists, producers, consumers, employers and employees, ad communities as well.

LAP Lambert Academic Publishing
ISBN 978-3-8383-1262-0, paperback, 328 Pages

Fiscal and Monetary Analysis: Tax, Spending and money circulation controlling by Noordin Jella (Paperback - Mar. 18, 2011)
In recent years, the controlling and balancing fiscal and monetary policy has been a difficulty and major problem for many developing countries, this factor has been the source for many governments to loose the powers of ruling. Fiscal Policy - The power of the government to tax and spend in order to achieve its goals for the economy, a government's program with respect to (1) the purchase of goods, services and spending on transfer payments, and (2) the amount and type of taxes. When one considers the impact of taxes one must look at the sector of society being impacted by the tax hike. Monetary policy is concerned with how much money circulates in the economy and what that money is worth. By keeping inflation low, stable and predictable, the Central Bank contributes to solid economic performance and rising living standards for particular country. In the acceleration of globalization developing countries are facing some difficulties to measure the effects of currencies depreciations on their countries balance sheet and financing costs given the endogenous properties of the exchange rates. This book is for universities students.

LAP Lambert Academic Publishing
ISBN 978-3-8443-2089-3, Paperback, 524 Seiten
 
Asante sana Mwanakijiji kwa Nakala nzuri ulizotuwekea vinaonekana vina mvuto mkali inabidi nivitafute, hawa ndio wapambanaji wa ukweli tunakushukuru kwa mchango wango katika kuleta hoja muhimu katika taifa letu
 
Kuna jambo lililojificha kwa undani sana juu ya huyu Dr Jella ambapo sisi walalahoi tusiofahamu TISS ni kitu gani. Kwa nini watafute kumuua?? je anahatari gani katika taifa? kwa nini wasiwaue watu wanaosema wanaandamana kupinga serikali mpaka serikali inakiri wakamuue Dr. Jella ambaye ni msomi anayetambulika (labda) kimataifa?? Na kingine kwa nini wamkatalie kuchapisha vitabu?? Na je si kwa sababu ya viwango duni?? Mwenye CV kamili ya huyu Dr. please aimwage kabla hatujamuita mpambanaji!!!
 
Paschal,

Viwango duni?

Kwa hiyo TISS ni TBS ya kupima kitabu kipi kichapishwe na kipi kiachwe?

I don't think so!

Maandiko yake yamechapishwa na Lambert, na ziko amazon, hii ni kuthibitisha kuwa maandishi yamekubalika na ni ya viwango vya kimataifa.

Inawezekana kuna jambo lingine ambalo TISS wanalo na huyu ndugu.

Hoja yako haina mashiko.

Dig better!
 
Inabidi watu wakumbuke kuhusu suala la vijana wale ambao serikali iliwatelekeza kule Ukraine. Dr. Jella ndiye aliyeshughulikia safari ya wale vijana na ndiye ambaye alisimama kuiexpose serikali kwa unyama iliyofanya hadi kuwarudisha kwa nguvu wale vijana toka Ukraine. Tangu wakati ule aliposimama na wakuu wake wa kazi (Wizara ya Elimu ya Juu) na kugongana na kina Msolla (at the time akiwa anafundisha Mzumbe) alikuwa ni person non grata..

I hope watu kama Nyegezi wanaweza kumpa tenure pale..
 
Dah ila hiyo bei yake naona kuna tiitle amazonaused ni expensive kuliko kipya.
5 new from $108.99 1 used from $164.27

Hata pale Morogoro Muslim univeristy wanashindwa kumpa ajira. Au wanao wakufunzi wa kutosha ?

Na hii TISS yetu bado imesinzia kwenye ujamaa sijui lini wataamka waafanyie kazi mambo muhimu.
 
Inabidi watu wakumbuke kuhusu suala la vijana wale ambao serikali iliwatelekeza kule Ukraine. Dr. Jella ndiye aliyeshughulikia safari ya wale vijana na ndiye ambaye alisimama kuiexpose serikali kwa unyama iliyofanya hadi kuwarudisha kwa nguvu wale vijana toka Ukraine. Tangu wakati ule aliposimama na wakuu wake wa kazi (Wizara ya Elimu ya Juu) na kugongana na kina Msolla (at the time akiwa anafundisha Mzumbe) alikuwa ni person non grata..

I hope watu kama Nyegezi wanaweza kumpa tenure pale..

By the way wakati wa sakata la wanafunzi Ukraine, nadhani Peter alikuwa waziri wa elimu, sayansi na technolojia. Sidhani kama Wizara ya Elimu ndio walikuwa wakuu wake wakazi. I stand to be corrected.

Unamaanisha Nyegezi Fisheries Institute wampe tenure Dr Jella?

Any way, Dr Jella needs promotion kwa hizi publication.
 
How do you get "promoted" when you have no job to begin with?

I think the Nyegezi that has been referred to is probably the present SAUT!

Are TISS allowed to carry out extrajudicial killings? In that case, why would any sane person be willing to work for that outfit? Working for killers is a sure way of booking a place in hell!

Must we have TISS? Will a new constitution still leave us with this shadowy group? How will we ever be a free and open society when we have a mafia like group in a position of authority?
 
niliwahi kumsikia Dr Jella mmoja aliyesoma urusi akifanya kazi ya part time open university miaka ya 2000s, ndiye huyo?

kama ndiye huyo, walionisimulia walisema si kichwa cha kutisha na hata lugha ilikuwa haipandi sawasawa, labda kwa sababu ya kusomea urusi (if that makes sense at all)!

asiyekaa ndani yangu hunyauka kama vile tawi

na pasipo wewe Mungu, sisi hatuwezi chochote
 
Kuna jambo lililojificha kwa undani sana juu ya huyu Dr Jella ambapo sisi walalahoi tusiofahamu TISS ni kitu gani. Kwa nini watafute kumuua?? je anahatari gani katika taifa? kwa nini wasiwaue watu wanaosema wanaandamana kupinga serikali mpaka serikali inakiri wakamuue Dr. Jella ambaye ni msomi anayetambulika (labda) kimataifa?? Na kingine kwa nini wamkatalie kuchapisha vitabu?? Na je si kwa sababu ya viwango duni?? Mwenye CV kamili ya huyu Dr. please aimwage kabla hatujamuita mpambanaji!!!
Soma kwenye blogu yake ya www.noordinjella.livejournal.com au unaweza uka-google jina lake Dr. Noordin Jella ili kupata picha halisi. Soma kwa umakini sana makala zake hususani mada zake zinazowahusu hao anaowatuhumu kwamba wanataka kumuua (i.e. TISS) utajionea wewe mwenyewe.
 
Kwa maneno yake:

Tangu nilipofukuzwa Mzumbe niliwekewa caranteen ya kutoajiriwa popote Tanzania, mali zangu zote na haki zangu zote zilikamatwa nikaambiwa si zangu, publication zangu zote zikapigwa marufuku kuchapishwa popote Tanzania, nikajaribu nchi za jirani kama Kenya na Uganda nikakuta kwamba ni mtandao mmoja (One East Africa Mafia Net Work).Nikanusurika kuuwawa Nairobi (kama nilivyokusimulia wakati ule).

Nikarudi Hapa Bongo nikaendelea kubangaiza hapa na pale na huku nikiendelea kumalizia vitabu vyangu ambavyo nilishavianza, kwa bahati nzuri vitabu vyangu sita (6) nilivyokuwa nimevipeleka kuchapishwa kwa Lambert Academic Publishing ya Ujerumani wamevikubali na vitabu vitatu tayari vimeshakuwa published na vipo kwenye mtandao wa Google na Amazon vinauzwa.

Kitendo hicho hakijawafuhisha Usalama wa Taifa na sasa hivi nawindwa niuwawe, nimekoswakoswa kutekwa nyara mara mbili, na ninavyoona hivi sasa wana mpango wa kuniuwa, aidha kwa kunipiga risasi au kuniteka nyara wakanipige na kuninyonga. Nimeshawekewa sumu mara tatu, Sofia House Hotel mara 2, na Tanco Hotel mara 1.

Asante sana
Dr. Jella

Baadhi ya Vitabu vyake:

The Concept of intellectual property Rights and Pirates: IPR, Violation and Consequences by Noordin Jella (Paperback - Mar. 2, 2011)
Nowadays, the Intellectual Property Rights (IPR) has becoming the burning issue and ambiguity problem to solve in all spheres of Social-economical activities. The practice of product counterfeiting or intellectual property rights theft of high visibility, strong and prestige brand name goods is a serious and rampant problem. The culprits committing such crimes came from the biggest to the smallest of countries. This book, therefore provides the intensive knowledge on the concept of IPR, counterfeiting, prates, anti-counterfeiting, trade mark, patent, copyright licensing, design right, copyright ownership, moral right, false attribution, the IPR in Agro-Biotechnology, the IPR and foreign direct investment in emerging markets, the measures on violations of IPR laws and consequences. This book is therefore written specifically for students of all colleges and universities, lecturers, academicians, researchers, lawyers and laws makers, consultants, entrepreneurs, artists, producers, consumers, employers and employees, ad communities as well.

LAP Lambert Academic Publishing
ISBN 978-3-8383-1262-0, paperback, 328 Pages

Fiscal and Monetary Analysis: Tax, Spending and money circulation controlling by Noordin Jella (Paperback - Mar. 18, 2011)
In recent years, the controlling and balancing fiscal and monetary policy has been a difficulty and major problem for many developing countries, this factor has been the source for many governments to loose the powers of ruling. Fiscal Policy - The power of the government to tax and spend in order to achieve its goals for the economy, a government's program with respect to (1) the purchase of goods, services and spending on transfer payments, and (2) the amount and type of taxes. When one considers the impact of taxes one must look at the sector of society being impacted by the tax hike. Monetary policy is concerned with how much money circulates in the economy and what that money is worth. By keeping inflation low, stable and predictable, the Central Bank contributes to solid economic performance and rising living standards for particular country. In the acceleration of globalization developing countries are facing some difficulties to measure the effects of currencies depreciations on their countries balance sheet and financing costs given the endogenous properties of the exchange rates. This book is for universities students.

LAP Lambert Academic Publishing
ISBN 978-3-8443-2089-3, Paperback, 524 Seiten
Siku hizi hawatumii sana mbinu ya kuteka am bayo ilikuwa inaleta taharuki kubwa kwenye jamii. Badala yake mbinj hii ya kuangamiza watu kwa sumu ndio wanaitumia sana, watu wengi wasio na hatia wanaangamizwa kimya kimya bila wao wenyewe au ndugu zao kujua vyanzo vya vifo kwa wapendwa wao. Virusi vya Corona au Covid19 au "Changamoto za upumuaji" imetumika sana kama kisingizio kwa wahanga wengi wa namna hii.
 
Back
Top Bottom