JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

Nikaudhuria baraza la Iddi nikapata kijitabu kidogo kilichoandikwa,.. Sababu ya Waislamu kukataa kuhesabiwa... nikajiridhisha kuwa kuna hoja za msingi sana, nikaja nikaandika only portion of it, kama ifuatavyo post sijaiona hadi sasa sijui ipo wapi?
How GoT underdeveloped Islam dominated places/regions through census data
Kwa muda sasa nilikuwa najua kuwa mikoa mingi ambayo waislamu ni wengi sana ukilinganisha na dini nyingine ilirudishwa nyuma kimaendeleo kwa makusudi na serikali kupitia kinachojulikana kwa sasa Mfumo Kristo(MK), Nilichokuwa sijui ni jinsi gani takwimu za sensa zilivyotumika kuchangia kudumaza maendeleo ya Mikoa hii ambayo ni Tanga,Pwani Kigoma Lindi Mtwara n.k, ni hadi jana nilipohudhuria baraza la Idd Mwembe Yanga nikakutana na kijitabu Chenye Title SABABU ZA WAISLAMU KUTOSHIRIKI SENSA YA MWAKA HUU (2012) nanukuu maneno yaliyoandikwa ukurasa wa 25, subtitle Kwa nini waislamu wanadai tume huru ya Sensa? Kama ifuatavyo:'Tume ya sensa ndio chombo rasmi kinachohusika na uratibu wa zoezi zima la sense mwaka huu. Sisi waiskamu hatuna imani hata kidogo na Idara ya Taifa ya takwimu na hiyo tume ya sens akwani kuna ushahidi wa kutosha hivyo mara zote hutoa takwimu za uongo kwa madhumuni ya kuukandamiza uislamu na kuunufaisha ukriso ili kuhalalisha dhulma kwa waislamu. Watumishi wengi sana wa hivyo vyombo ni wakristo na waislkamu ni wachache sana tena wenye nyadhifa za uongozi na kutoa maamuzi ni wakristo..Hatuna imani na idara ya taifa ya takwimu na tume yake kwani hushiriki katika propaganda ya kwamba katika nchi hii waislamu ni wachache ikilinganishwa na wakristo kwa kutoa matokeo Sensa katika maeneo na mikoa yenye waislamu wengi kwamba idadi ya watu huko ni ndogo, na ktika mikoa na maeneo yenye wakristo wengi idadi ya watu huko ni kubwa sana. Mfano katika sense iliyofanyika mwaka 1988 Idadi ya wakazi wa mkoa wa Tanga ilikuwa ni 1,500,000,na ilipofanika sensa ya mwaka 2002 idadi ya watu mkoani humo ilibaki kuwa 1,500,000.Maana yake ni kwamba katika kipindi cha miaka 12 (1988 hadi 2002) idadi ya watu mkoa wa Tanga haijaongezeka hata mtu 1!
Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba katika mkoa wa Tanga kuna idadi kubwa sana ya waislamu ukilinganisha na Wakristo,hivyo kutoa Takwimu zinazoonesha kwamba Mkoa huo una idadi kubwa ya watu mantiki yake mkoa huo una idadi kubwa ya waislamu kitu ambachoidara ya takwimu na sensa hawawezi kufanya kwa sababu nia yao siku zote nimkuonesha idadi ya waislamu katika nchi hii ni wachache.
Athari ya takwimu izo ni kwamba serikali inapopanga mipango ya maendeleo na huduma za kijamii katika mkoa huo huzingatia takwimu hizo hivyo huukosesha mkoa huo miradi na fursa mbalimbali za kimaendeleo na huduma za jamii. Kama idadi ya watu ni ileile haijaongezeka kuna haja gani ya kupanua na kuongeza huduma za jamii kama vile Shule Hospitali Maji safi na Salam barabara n.k.,Maana yake mkoa wa Tanga baada ya matokeo ya sense ya mwaka 2002 haikupewa kipaumbele chochote katika miradi ya maendeleo na huduma za jamii na serikali kwani vilivyokuwepo mwaka 1988 vinatosheleza maana idadi ya watu ni ileile!
Mkoa wa Tanga tumetoa kama mfano lakini huo ndio mpango mzima na hali halisi ilivyo katika mikoa yote ya waislamu. Ukipitia takwimu zote za sensa katika nchi hii, mikoa yenye idadi ndogo ya watu ni mikoa inayokaliwa na waislamu wengi na mikoa yenye idadi kubwa ya watu ni mikoa iliyokaliwa na wakristo wengi!
Maana yake ni kuwa mikoa yenye waislamu wengi itapewa idadi ndogo ya miradi ya maendeleo ukilinganisa na mikoa yenye idadi kubwa ya wakristo ambayo itapewa miradi mingi ya maendeleo…..
Idara ya taifa ya Takwimu na tume ya sensa, sisi waislamu hatuna imani nazo kwani zote kwa pamoja hutoa takwimu za uongo zikiwepo za idadi ya watu kama tulivyoeleza hivyo bila tume huru ya sensa yenye uwiano sawa wa kidini baina ya waislamu na wakristo, sisi waislamu hatushiriki sensa ya mwaka huu na zingine zote zijazo. Mwisho wa kunukuu.
 
hebu mjitambue nyie mnao toa maonim humu maana penginemnaya sema msiyo kuwa na elimu nayo. nusu ya elimu ni sawa na wenda wazimu. kwanini hamtaki kusikiliza hoja za mashekh kwanza? mnaishia ku conclude why? ama kweli funika kombe mwana haramu apite ina sikitisha sana ali yohaya wametaka ccm na makataba wao wa memorandum of understanding.
 
inaelekea wewe ni mdini huu ni mtazamo wangu kwakua siono dalili ya wewe kutaka haki ifanyike ila wewe unakalia na kasemo kako "VIDINI VINGINE BWANA!!" haya tutaona coz hakuna merefu yasiyo na ncha. nakupa hii. ulikuepo utawala wa firani je yuko wapi? nusu ya elimu ni sawa na wenda wazimu
 
nimeenda huko mtaani , nikaja na hii, ikafutwa

  1. Kwa nini kipengele cha sensa kiliondolewa?
Inasadikika kuwa sensa ya mwisho kufanyika wakati wa ukoloni Tanzania ilikuwa na Waislamu asilimia kama 60, Tukisema kuwa serikali ilikiondoa kipengele hiki kwa sababu maalumu ikiwemo kuwa na nafasi ya kuendeleza na kusadikisha takwimu za uongo ili kushamirisha Mfumo Kristo (MK) Tanzania tunakosea?


  1. Kwa nini taasisi mbalimbali za serikali na binafsi zimekua zikitoa takwimu za watu na dini zao?
Mfano 0fisi ya waziri mkuu inadai wakristo ni 45%-waislamu 35%. TBC1, imetangaza wakristo ni 52%-waislamu 32%.Bodi ya watalii -Christianity and Islam are the predominant religions of Tanzania. About 40-45% of the population practice Christianity, about 35-40% practice Islam.,Tovuti kikatoliki (RCNet) waislamu 34%- na wakristo ni 44%
Na hapa kuna hoja mbili,
a) kwa nini takwimu zinatofautiana? na b)kwa nini pamoja na kutofautiana zote zinaonesha wakristo ni wengi kuliko waislamu?
Kwa kawaida jambo la uongo lazima hukwama, takwimu zinatofautiana kwa sababu ni za uongo, Zote zinaonesha wakristo ni wengi kwa sababu za kukidhi matakwa ya MK.
Mkurugenzi wa TBC alipoulizwa kuhusu takwimu katoa wapi aliishia kuomba radhi, kakosea, swali ni je kakosea nini? Amekuwa akikosea mambo mangapi ya kitaifa kwa ujumla wake kama lilivyo hili? Huu ndio MK
3.Kwa nini kiwepo kipengele cha kuhesabiwa kwa nyumba za ibada?
Waislamu wakisema kuwa kuhesabiwa kwa nyumba za ibada pekee kunaweza kutumiwa na wapotoshoshaji wa Umma kupitia MK, kuwa Wkristo ni wengi kwani siku hizi kuna utitiri wa madhehebu kikristo na makanisa binafsi hata kama yana waumini wachache achilia mbali uyoga wa makanisa yanojiita ya wokovu? Kwa nini nyumba za ibada na sio na wanaoabudu humo?, Serikali inataka kugawa misala misikitini na mabench kanisani?
Waislamu wa leo ni tofauti na wa enzi hizo, wanajua wanachokifanya na hili la sensa ni moja na mengine yatakuja,hatuhitaji kumtafuta kiongozi wala Sheikn Ponda kwa hili, elimu tulishapata , macho yalishafumbuliwa na Tunaelewa athari za mfumo Kristo katika jamii

  1. Tulisadikishwa kuwa waislam hawakusoma, kumbe data zinaonesha NECTA inawapunguza
  2. Tukasadikishwa kwamba hawajengi Mashule na Hospitali ila wanajenga misikiti, kumbe wenzetu wanajenga kupitia fedha wanazopewa na serikali hii hii kupitia MoU
  3. Tukasadikishwa kuwa nchi hii haina dini , kumbe serikali yetu ina mfumo Kristo ambao haukuandikwa popote lakini unafanya kazi zake kwa siri na waziwazi
TUMEKATAA KWENDA KWA MATAKWA YA MK, NARUDIA WAISLAMU HATUHESABIWI.
Nimeona kaukweli katika madai yako, lakini kwenye takwimu ulizotoa sijaona za kutoka kwa waislamu au tasisi ya kiislamu, inamaan hukukutana nao mitaani?. Kama wapo nashauri urudi huko nao ukawaulize wao takwimu zao zinasemaje?.
 
Hakuna Jipya, mwisho wa ck anayetaka atashiriki na asiyetaka atakaa pembeni.
Ila binafsi sioni tatizo kuweka kipengele cha dini ktk sensa, nchi nyingi duniani zinafanya
na wala hukuna tatizo. Inaelekea kuna watu wanahofu zisizo na msingi.

Hatuwezi kuiga kila kinachofanyika nchi nyingine, otherwise tuige na kufuwatambua mashoga kama wenzetu.
Mi nazani dini ziachwe zifanye sensa ya waumini wake cuz hii ishu ni kama ina agenda iliyojifichanyuma ya pazia.
 
Hii dini ya kuzimu wataisha lini kulalamika? Tz ina wakiristo weng kuliko waislam wala huhtaj kubisha! Fanya hesabu za haraka,mf.eneo moja laweza kuwa na makanisa 5 na mckiti mmoja,na hayo makanisawanaibada 3 tokana na wing wa watu! Pita mashuleni, kati ya wanafunzi 500, kati yao 50 tu ndo waislam na 450 ni wakiristo! NAJUA SABABU ZENU NI KWAMBA,MNAOA WANAWAKE WENGI NA MNAZAA KILA SIKU, lakn bado haiwapi uwingi, halafu kumbuka kila uchwao,waislam 10 huhamia ukiristo.
 
Kikwete alisimamia kuingizwa kipengele cha kadhi kwenye ilani nawe unasema si mwakilishi wa dini yoyote?

Huyo simba na Bakwata si ndio hao hao waliosema watainyima CCM kura, watasusia sensa - leo wamegeula vipi? Imani huwa inageuka. Askofu akikana imani yake inambidi aenguliwe na mwingine achukue nafasi yake. Sasa mufti leo nataka kesho sitaki.

vidini vingine bana?

dubuli

  • A%20S-baby.gif

 
Hii dini ya kuzimu wataisha lini kulalamika? Tz ina wakiristo weng kuliko waislam wala huhtaj kubisha! Fanya hesabu za haraka,mf.eneo moja laweza kuwa na makanisa 5 na mckiti mmoja,na hayo makanisawanaibada 3 tokana na wing wa watu! Pita mashuleni, kati ya wanafunzi 500, kati yao 50 tu ndo waislam na 450 ni wakiristo! NAJUA SABABU ZENU NI KWAMBA,MNAOA WANAWAKE WENGI NA MNAZAA KILA SIKU, lakn bado haiwapi uwingi, halafu kumbuka kila uchwao,waislam 10 huhamia ukiristo.
oi Punguza kamba Mkuu
 
Fally ipupa ndio maalim wa madrassa gani? Mi simjuagi.

Wakristu ni washindi siku zote kwani Bwana ndiye anatushindia kama alivyomshinda Farao na majeshi yake. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Nyinyi mnakumbatia mapepo na kuanza kuchoma makanisa. Sisi tunapiga maombi kwa Mungu wetu aliye hai.
vidini vingine bana!
Huyo mungu wenu angezuia basi makanisa yasichomwe, mnaabudu utaalam wa mmakonde(masanamu) mnaita mungu, pum..vu kabisa nyie.
 
Huyo yesu unayemtukana na marium unayemkejeli ni manabii katika kidini chako. Tazama ulivyokuwa limbukeni! Na kwangu mkristu hutaona matusi yaliyokosa staha kama yako kwa kuwa huu ndio utaratibu wa dini yetu. Hatutumii matusi wala majeshi. Tumepewa jina moja takatifu la Yesu Kristu. Na ndio maana kwa jina la hilo unakosa hoja na kujaza matusi. Tumeambiwa tuwapende adui zetu na tusiwachukie wanaotuudhi. Sisi ni dini ya upatanisho, upole, amani, nk. Kadini kenu kanahimiza fujo, kuchoma makanisa, kutukana ovyo, kugomea sensa, nk. Bwana ndiye mchungaji wangu, na hakika wema nazo fadhili zitanifuata mimi.

vidini vingine bana!
Mzee kuwa mpole, mbona umejibu ya marium na yesu tu, hayo ya kuoana wenyewe kwa wenyewe(jinsia moja) vp? alafu naskia hadi kuna maaskofu wanasuliwa ni kweli?
 
mimi niko kabla ya dunia,hapo mwanzo kulikuwako neno,nae neno alitoka kwa Mungu nae alifanyika mwana kama mungu alivyoagiza! UWI SUBIRI MOTO WEWE! Mwana wa hajiri uzao wa ishmael, yesu alikuwapo hata kabla hajaja dunian,mungu katika utatu mtakatifu,baba,mwana na roho mtakatifu! Uwi mla utumbo wa mtu upo? Endelea kuabudu majini,na mashehe wenu kuwa waganga na wachawi! Subiri jehanam yakungoja mfilisti wewe!

Profesa maji marefu dini gani?
 
Pengo!? Watu tumeona vibogoyo!

thank u...!
Makafiri sisi hatuabudu mnachoabudu nyinyi
na wala nyinyi hamuwez abudu tunachoabudu sisi
na wala hamuwez abudu tunachoabudu sisi
nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu
kama hatutaki kuhesabiwa poa tuh sasa nyinyi mnaguswa na nin?si muhesabiwe nyinyi?
Tatzo makafiri hamna akili
bikra maria mnamuita mama wa mungu..!
Sasa baba wa mungu yu wapii?
Akili zenu kama kiti moto makafiri..
 
thank u...!
Makafiri sisi hatuabudu mnachoabudu nyinyi
na wala nyinyi hamuwez abudu tunachoabudu sisi
na wala hamuwez abudu tunachoabudu sisi
nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu
kama hatutaki kuhesabiwa poa tuh sasa nyinyi mnaguswa na nin?si muhesabiwe nyinyi?
Tatzo makafiri hamna akili
bikra maria mnamuita mama wa mungu..!
Sasa baba wa mungu yu wapii?
Akili zenu kama kiti moto makafiri..

KITI MOTO NDO CHAKULA CHENU, MFUNGO MABUCHA YALIDOLOLA,TOKA JUZI ZINAISHA SAA 4 ASUBUHI, ITZ TRUE NYIE HAMUABUDU TUNACHOABUDU, NYIE MWAMWABUDU JINI MKUU(ALLAH) na wafuasi wake! Nyie kaen pemben wavivu nyie,ktwa maulid,40,kula matumbo ya marehem! Huko ahera kwenu mnamambo. Poleni wafuga majini.
 
kwa hiyo wagalatia werevu wako bize kusikiliza redio ya vichaa, kisha wanachukua mada za vichaa wanaleta kwa werevu wenzao ! Ndo maana mnanunua picha na kuomba ziwasaidie !
hawana akili wagalatiaaaa...!
Eti wamepewa picha ya mungu yesu ambae ni mzungu nao wamekubalii
af shetani ni mweusii ambae ni wao,kwaiyo wanatolewa kwenye ushetani weusi na wanapelekwa kwenye uungu
sasa kama mungu ni mzungu we huon km umetengwa??au ndio maana yule nabii flora kajichubua nin??
Wanaabudu misalaba na masanamu...!
Hahahahaa...amken jaman
 
Hakuna Jipya, mwisho wa ck anayetaka atashiriki na asiyetaka atakaa pembeni.
Ila binafsi sioni tatizo kuweka kipengele cha dini ktk sensa, nchi nyingi duniani zinafanya
na wala hukuna tatizo. Inaelekea kuna watu wanahofu zisizo na msingi.

nchi zipi izo ndugu, acheni udini mbona mambo hayo yanaweza kufanyika katika dini zenu kama shida ni kufahamu mpo wangapi? mbona hamna mifumo ya kueleweka ninyi bana msiwe kama watoto leo analilia pipi hajapata anataka mandazi
 
sioni mnachobishana, Mungu anawajua walio wake, Yesu alisema mimi ndimi njia kweli na uzima, yohana 3:36, uyo muddi mtume wenu anasema yesu ni njia, leo mnakata, kwaiyo mnapingana ata na mudi? Uislam uchawi,uganga chuma ulete vita wauwaji. Mnamwabudu allah kubwa la majini.
 
KITI MOTO NDO CHAKULA CHENU, MFUNGO MABUCHA YALIDOLOLA,TOKA JUZI ZINAISHA SAA 4 ASUBUHI, ITZ TRUE NYIE HAMUABUDU TUNACHOABUDU, NYIE MWAMWABUDU JINI MKUU(ALLAH) na wafuasi wake! Nyie kaen pemben wavivu nyie,ktwa maulid,40,kula matumbo ya marehem! Huko ahera kwenu mnamambo. Poleni wafuga majini.


wewe unaonekana hata exposure huna..!
Ndio wewe unaekwenda nchi za watu ukaingia kanisani ukiskia padri anatamka neno 'Allah'kwenye bibilia yake unakimbia kanisa kwa kudhan kua upo msikitini
Allah i.e arabic word means -mungu
god i,e english word means -mungu
yehova-jewish means-mungu
halafu pia mungu aliumba binadam na majini
majini wapo wanaofanya vitendo vyema
na wanadam wapo wanaofanya vitendo vyema
majini wanaofanya vitendo vibaya ni huitwa mashetani
binadam wanaofanya vitendo vibaya pia hua na tabia za kishetani ambae ni muasi wa amri ya mungu tokea ulimwengu huu ulipoumbwa alipowashawishi adam na hawa kupotoka na maamrisho ya mungu baadae wakatubia na kushushwa rasmi dunian
tatzo mnamezeshwa vipengele vya bibilia bila kuvisoma na kuvielewa vizuri
waislam tunaabud mungu mmoja,muumba wa mbingu na ardhi
hakuzaa,wala hakuzaliwa na wala hakuna yoyote anaefanana nae..!
Tembea dunian ujifunze,wapo waarabu ambao ni wakristo pia,na hua wanamuita mungu kwa jina la Allah wakimaanisha mungu huyo huyo unaemuita wewe yehovaa..!
 
sioni mnachobishana, Mungu anawajua walio wake, Yesu alisema mimi ndimi njia kweli na uzima, yohana 3:36, uyo muddi mtume wenu anasema yesu ni njia, leo mnakata, kwaiyo mnapingana ata na mudi? Uislam uchawi,uganga chuma ulete vita wauwaji. Mnamwabudu allah kubwa la majini.

hahaha Muddy,umeua mbaya.
 
wewe unaonekana hata exposure huna..!
Ndio wewe unaekwenda nchi za watu ukaingia kanisani ukiskia padri anatamka neno 'Allah'kwenye bibilia yake unakimbia kanisa kwa kudhan kua upo msikitini
Allah i.e arabic word means -mungu
god i,e english word means -mungu
yehova-jewish means-mungu
halafu pia mungu aliumba binadam na majini
majini wapo wanaofanya vitendo vyema
na wanadam wapo wanaofanya vitendo vyema
majini wanaofanya vitendo vibaya ni huitwa mashetani
binadam wanaofanya vitendo vibaya pia hua na tabia za kishetani ambae ni muasi wa amri ya mungu tokea ulimwengu huu ulipoumbwa alipowashawishi adam na hawa kupotoka na maamrisho ya mungu baadae wakatubia na kushushwa rasmi dunian
tatzo mnamezeshwa vipengele vya bibilia bila kuvisoma na kuvielewa vizuri
waislam tunaabud mungu mmoja,muumba wa mbingu na ardhi
hakuzaa,wala hakuzaliwa na wala hakuna yoyote anaefanana nae..!
Tembea dunian ujifunze,wapo waarabu ambao ni wakristo pia,na hua wanamuita mungu kwa jina la Allah wakimaanisha mungu huyo huyo unaemuita wewe yehovaa..!

UNAIJUA SANA BIBLIA EH? Hebu nisaidie uhusiano wa UISLAM NA MAJINI, maana tukikemea mapepo yanalalamika kuungua moto na huomba yaruhusiwe kwenda msikitini yaswali.
 
“Siku ya Agosti 26, iliyopangwa kuanza hiyo inayoitwa sensa, Waislamu tumejipanga kufanya maandamano makubwa ya amani nchi nzima kupinga misingi dhuluma dhidi ya Waislamu…tutatoka nchi nzima ili ulimwengu washuhudie idadi ya Watanzania ambao hawakushiriki kuhesabiwa,” alisema Ponda.

Alisema kumekuwepo na takwimu mbalimbali zinazokinzana kuhusu idadi ya Waislamu na Wakristo, huku akiishutumu serikali kwa kufumbia macho takwimu hizo zikiwemo zilizopo kwenye tovuti ya Kanisa Katoliki, Bodi ya Utalii na Idara ya Uhamiaji.
JK ANATAKA KUFURAHISHA WATU WASIOMTAKA

Kanisa katoliki tanzania hatuna tovuti bali tuna media zetu na hatujawahi kutangaza wala kutoa documentary yyte kuhusu idadi ya waislamu wa tanzania
Na hata tungekua nayo tungeitumia kwa kukazia imani kwa waumini wetu tusingewaongelea kama nyie mnavyojipotezea muda na mihadhara ya kutu diss kujifanya mnaujua ukristo kuliko sisi na kutiana sumu za kugomea sensa kichwani bila hoja ya msingi..kama mnataka idadi yenu c mjihesabu wenyewe as simple as that, serikali haina dini why kipengele cha dini kwnye sensa ili iweje, ndio nyie baada ya hili sensa ya 2022 mtataka kipengele cha ukabila.
NONSENSE
 
Back
Top Bottom