Recent content by kadumaster08

  1. K

    Nimenyimwa ruhusa ya kwenda kujiendeleza kusoma masters, wameniambia nikasome open university

    Bro kwanza pole sana hizo ndizo changamoto za Utumishi. Nenda Open University ukasome kwani wale sio spoon feeding km vyuo vp vingine na utakuwa competent kuliko wao. Mpaka sasa historia iliyowekwa na mwanafunzi toka Open University ktk chuo cha uwakili(Law School)haijavunjwa. Mm nimesoma hapo...
  2. K

    Nahitaji mkopo wa sh milioni moja na nusu

    Hbrn za weekend wapendwa, Nahitaji mkopo wa 1,500,000/- kwa marejesho ya mwaka mmoja tu. Nia na madhumuni ya mkopo huo ni kwamba nina jirani yangu ana kiwanja anauza huko Kibaha kwa Mathias, anauza kwa matatizo. Hivyo basi nilihitaji kuongeza eneo langu kwani dogo. Aliye tayari tuwasiliane...
  3. K

    Nimefika Morogoro aise kuna madem sana huu mkoa

    Dogo umeenda kusoma/kutafuta elimu au umeenda Morogoro kutafuta watoto wa kike? Utarudi kwenu na 2kgs
  4. K

    Pole apewayo mwanaume baada ya kuduu inamaanisha nini?

    Pole kwa sababu alivyokudhania sivyo ulivyo ie is umeshindwa kazi.
  5. K

    Simba na Yanga, kwanini sio Yanga na Simba?

    Tunaanza Simba na Yanga kwa sababu ya kauli hii ladies first.
  6. K

    Serikali ya Magufuli imetiwa mfukoni na StarTimes

    Sio starTimes pekee, hii ni mpaka Azamtv. Package ikiisha unabaki na TBC tu nayo ni kwa muda baada ya mwezi nayo na shiiiiiiiiiiiiida kuipata. Hii ni kero kweli.
  7. K

    IFM: Mwalimu Elli Doriye anakera, anaharibu chuo

    Hamsomi watt wa siku hizi, mnabaki kusoma past papers, mbona wengine wamepita hapo?
  8. K

    Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

    Je, km Lowasa akirudi CCM vp utabaki chadema au nawe utarudi CCM as long as Lowasa karudi@_Iramba.
  9. K

    Afisa Ugavi Wilaya ya Babati, Emmanuel Salehe apata ajali ya gari na kufariki

    Km ni DC wa Babati anaitwa Mushi, kabla ya kwenda huko alikuwa DC wa Ilala, Dar.
  10. K

    Hongera Azam TV kuonesha Euro 2016

    Vp kuutangaza je@Makoye Matale
  11. K

    Hongera Azam TV kuonesha Euro 2016

    Kituo gani cha TV kitaonesha mechi hiyo bro Makoye Mistake?
  12. K

    Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    Sasa uoni kuwa mabanki na makampuni ya simu yataongeza gharama za service charge.
Back
Top Bottom