Serikali ya Magufuli imetiwa mfukoni na StarTimes

Duh hivi kwanini local chanel zote zinalipiwa isipokuwa tbc tu
 
Sio starTimes pekee, hii ni mpaka Azamtv. Package ikiisha unabaki na TBC tu nayo ni kwa muda baada ya mwezi nayo na shiiiiiiiiiiiiida kuipata. Hii ni kero kweli.
 
even your mom's bitch

Calm down Eddy Love, tujiunge tulipiganie hili, tuwe na uvumilivu tujadiliane kwa staha, muda mwingine ukidharau kumjibu aliyekudhihaki roho itamuuma Zaidi kuliko ukimjibu
 
Mjifunze kuandika kwa adabu,serikali imetiwa mfukoni manake nini?? Unaidhalilisha nchi yako na watu Wake. Kujua kusoma na kuandika isiwe tabu ahlaaa!! Badili kichwa cha habari ili wastaarabu tuchangie hoja
Imekuchoma ee
 
mkuu bora cha Startimes. Wanakuachia TBC1 na TV1 lakini cha jamaa yetu wa Mwanza Contnental Zote zimepigwa Pingu. Muda wako ukiisha.
 
Siyo kweli mkuu kama hoja yako inasimama kwenye hizo hoja ulizoainisha huna hoja mkuu jipange tena.
pinga hoja kwa hoja mkuu; binafsi mm ni mdau wa startimes na hizo channel za bure kwa sasa hazipo kwa vingamuzi vipya; naomba utafute sehenu nyingine ya kuanzia;

Mambo ya LUMUMBA waachie wana LUMBUMBA, book 7000 isikutoe ufahamu;
 
Siyo kweli mkuu kama hoja yako inasimama kwenye hizo hoja ulizoainisha huna hoja mkuu jipange tena.
Pia asisahau kwamba kampuni inatakiwa gharama za uendeshaji ili kukidhi haja ya hao maskini..Hv ikitokea Wateja wote wa startimes,continental,ting nk wagome kulipia chaji ya mwezi yan wawe wanaangalia tu chanel za nyumbani hv unadhani hz kampuni zitaendelea kuwepo kweli?Pia hao maskini unaowazungumzia sijui ni wa aina gani wa kushindwa kulipa 5000 kwa mwezi want huo vocha ya simu anatumia so chini ya 30000/month.Hii tafsiri ya maskini nadhani haijaeleweka bado hoja zake nyembamba sana.
 
Sheria na taratibu ziliwatambua ndio maana utaratibu ukawekwa, kama hakuna hao masikini basi sharia na taratibu zitambue hilo na taratibu zilizowekwa mwanzo zifutwe huondio utawala wa sheria. Hoja nyembamba ni ile isiyotambua kuwa sheria zilizopo zinatamalaki mpaka zitakapobadilishwa au kufutwa.
 
Sio starTimes pekee, hii ni mpaka Azamtv. Package ikiisha unabaki na TBC tu nayo ni kwa muda baada ya mwezi nayo na shiiiiiiiiiiiiida kuipata. Hii ni kero kweli.
Lililopo ni kununua ungo wa FTA (na king'amuzi cha MPEG4) na kuuelekeza INTELSAT 906, channel za Tz unazipata bure kabisa..
 
Mjifunze kuandika kwa adabu,serikali imetiwa mfukoni manake nini?? Unaidhalilisha nchi yako na watu Wake. Kujua kusoma na kuandika isiwe tabu ahlaaa!! Badili kichwa cha habari ili wastaarabu tuchangie hoja
Kama imewekwa mfukoni unataka lugha gani itumike?
 
Tatzo la serikali kupandisha kodi kiholela kila sekta imewabid wenye TV channel kukaa na startimes wapate na wao faida maan kodi imezid tofaut na awali.. SERIKALI IKIPANDISHA KODI KWA LENGO LA KUWABANA MATAJIRI (WAFANYA BIASHARA) INASAHAU HAO NAO WATAKUJA KUWABANA WATU WA HALI YA CHINI.. AT THE ANAYEUMIA NI MTZ WA KAWAIDA TU
 
Mjifunze kuandika kwa adabu,serikali imetiwa mfukoni manake nini?? Unaidhalilisha nchi yako na watu Wake. Kujua kusoma na kuandika isiwe tabu ahlaaa!! Badili kichwa cha habari ili wastaarabu tuchangie hoja
Acha kutetea ujinga,kuna mambo yanakera siwez kushangaa coz lazma mtu uwe na hasira serikali inapoenda tofauti na ilivosema mwanzo
 
Mjifunze kuandika kwa adabu,serikali imetiwa mfukoni manake nini?? Unaidhalilisha nchi yako na watu Wake. Kujua kusoma na kuandika isiwe tabu ahlaaa!! Badili kichwa cha habari ili wastaarabu tuchangie hoja
Ushachangia mbona
 
Back
Top Bottom