Nimefika Morogoro aise kuna madem sana huu mkoa

Zingzingzing

JF-Expert Member
May 13, 2014
655
604
Npo Hapa Moro Kwa Masomo Hapa Mazimbo ,aise Nktembea Pande Za Town Xaba7 watoto wakali kila kona aixe duh, blessed morogoro
 
Npo Hapa Moro Kwa Masomo Hapa Mazimbo ,aise Nktembea Pande Za Town Xaba7 watoto wakali kila kona aixe duh,
huo ndio mji ambao kuna wanawake wanajipanga kama njugu kujiuza. kuanzia wale mataputapu pale msamvu wanaotega kwenye giza kusubiri madereva malori na wasafiri, kuanzia saa tatu wamejipanga kabisa. nenda mataputapu mengine yapo moro night sijui kuna club moja/bar wamepanga vyumba kabisa, ila ukiingia kule wamejaa zaidi ya 20 wanaweza kukupora hata pesa yote ukarudi mtupu na huwafanyi kitu. ni mkoa mchafu sana.
 
yaap! sasa ndo mda wako wa kula ujana tafuna wote mkuu ikiwezekana hadi madada poa usiogope ukimwi wasomi hawapatagi ukimwi ...
 
Back
Top Bottom