Pole apewayo mwanaume baada ya kuduu inamaanisha nini?

Pole apewayo mwanaume baada ya kuduu inamaanisha nini?

Mkuu hebu jaribu kuninyambulishia hasa kama wewe wanawake huwa mnamaanusha nini ?
Kweli hii kauri imenitesa muda mrefu ndo maana nikaianika hapa jamvini
Mkuu naogopa BAN maana unyambulisho mzuri ambao utanielewa vizuri humu hauruusiwi
Mbaya zaidi sina tafsida zake
 
hahaaa....mkuu kama unapewaga pole ujue your work done is equal to ZERO
 
Hahahhahahahahhahahahahahaha nacheka sanaa jf kwl ina mambo
 
Hebu cku moja simamia ukucha halafu umpige show ya kibabe kama atakwambia pole,,,,,atabaki anajigeuza tu kitandani
 
Ukarimu tu huo. Napendaga sana kupewa pole napomaliza tukio
 
Pole sababu umepunguza siku za kuishi kwenye dunia tamu.
 
Tatizo mkuu sio wale wa pesa wa pesa nimeshajaribu hawanaga hizo tena swali yao hi hili
"Hujamalizatu"
Wale hawanaga pole kabisa mkuu maana wanapenda kibao kimoja tu kile cha kwanza hawataki cha poli maana wanasema huwa tunakawia kupiga bao
Fasta ili akawah kichwa kingine, hahahahaaaa hatari sana mkuu
 
Pole kwa sababu alivyokudhania sivyo ulivyo ie is umeshindwa kazi.
Mkuu nilishawahi mmoja wao kumgegeda mashine ya pili ikagona na huku anamzuka

Aliniuliza mawsali huku akionyesha huzuni kubwa anauliza
Hiv bebi mbina leo hiv? Mbona siku zingine unaninaniii vzr tu?
Akaendelea au kuna nn leo? Hakukomea hapo akasema au huwa sikufanyii vzr
Alinimaliza kabisa aliposema leo siondoki mpaka uninaniii
Alikakaa mpaka mzee akanyanyuka
Mwisho wa safari alimalizia na kibwagizo hicho hicho
Bebi pole? Pole sana
 
Back
Top Bottom