kadumaster08
Member
- May 30, 2013
- 78
- 15
Hamsomi watt wa siku hizi, mnabaki kusoma past papers, mbona wengine wamepita hapo?
Chuo gani?Wasalaam wakuu.
Mwalimu tajwa hapo amekuwa ni kero kubwa hapa chuoni. Amekuwa na tabia ya kufelisha wanafunzi kwa makusudi.
Kwa mfano, sisi ametufundisha Financial Markets mwaka huu, na kwa utaratibu wa chuo inabidi ujue coursework yako kabla ya kuingia kwenye UE.
La ajabu ni kuwa hakutoa matokeo, na chuo kimefunga ana upload marks darasa zima below 40 percent.
Hii haipo sawa na tunaomba uongozi wa chuo ufuatilie hili.
Wasalaam.
Sio rahisi kwa vyuo vya tanzaniaNimependa jina lako ila ongea na viongozi wa darasa iyo issue ndogo sana uyo mwalimu inakula kwake
Duuh.... haya bhanaWakamueee !!
IFM inajulikana kuwa chuo cha maselule !! Mabishoo !!
Wavivu!! Watoto wa mama!!
Wakamue ticha !!
Na kweli ni ticha kichaa haswa.Wanafunzi wa siku hizi mnapenda sana anasa na kuwa bize kuchagua nguo nadhifu ili mfanane na Diamond Platinumz! Mnawaza zaidi ngono na starehe na hamtaki kusoma!
Mr Deriye hataki kumpa mtu ushindi wa mezani! Safi sana Mr Doriye, [R]ticha kichaa![/R]
mkuu IFM haipo hivyo kama unavyoifikiria..mle ndani kuna stress nyingi mnooWakamueee !!
IFM inajulikana kuwa chuo cha maselule !! Mabishoo !!
Wavivu!! Watoto wa mama!!
Wakamue ticha !!
Huu ni ujinga wa hali ya juu saana umeonyesha wewe uliyeleta hii mada hapa, unaonekana kabisa elimu uliyoipata haijakusaidia hata kidogo. Swala la coursework kutokupatikana kwa muda sio ishu ya public hili ni swala ambalo mungeliweza kulimaliza hukohuko, hasa unapolileta huku kwenye mitandao unataka kutafuta sifa tu zisizo na maana kwa kuharibu tu sifa ya mtu na chuo. Inawezekana kosa lipo ila haya ni ya kumaliza ndani kwenye uongozi wa chuo chenu.
Lakini swala hapa sio coursework kuwa chini ya 40%, nadhani hiyo sio hoja, hizo ndo mark mlizopata, so hata zingeliwekwa mapema bado zingelikuwa ndo chini ya 40%. Kama mwalimu kaweka kile mlichopata isichukuliwe kuwa ni msumbufu, mbona zikichelewa zikaja zimeongezwa hamsemi.
Nadhani ni busara kujua wapi mahalisahihi pa kuwakilisha tatizo lako na ni tatizo gani unalowakilisha. Kuja kwenye mitandao kisa ipo ni kukosa busara tu.
Kuna mmoja wa M.A management accounting ya mwaka wa 3 kipindi cha mwaka 2010-2011-2012 zaidi ya nusu darasa wote mnapata supp kilazima tu, sijui kama bado yupo mpk sasa
Supp za bisiness law, mathematics mpaka aibu. Big up kwa wanaosoma IFM changamoto zake tu ni ukubwa tosha, ni chuo kizuri sana ktk moja ya vyuo vilivyopo Tz coz Management ipo serious
Komaeni tu ndugu ndo maisha ya chuo yalivyo
Wewe ulimpa ngono.mbona hukuisaidia jamhuri kama mzalenfoMimi pia nilisoma hapo. Kiukweli huyo dokta hafai. Issue sio ugumu wa mtihani bali ni kufelisha kwa makusudi wanafunzi na baadae kudai rushwa ya ngono kwa wadada.
Shwaini
Hahahaha...! kama vipi apge hata CR yaisheNilidhani una hoja kumbe PUMBA!!! Mwl afelishe darasa zima ili iweje? Tena ninyi wa awamu ya JK hata chuo kikiwaondoa wote sioni shida akili hamna vichwani, Library hamuenda ila kufaulu mnataka.
Ww unadhani tafti ya 61% Vil,aza imekujaje Tz kama siyo akina ww?
Kutongoza mademu, kupiga selfie na kuchat ndio Syllabus alizo wapa Shukuru Kawambwa!!
Unaweza kuthibitisha hayo madai yako? I am happily maried na sina hiyo tabiaMimi pia nilisoma hapo. Kiukweli huyo dokta hafai. Issue sio ugumu wa mtihani bali ni kufelisha kwa makusudi wanafunzi na baadae kudai rushwa ya ngono kwa wadada.
Shwaini