ZBC2 iliyopo kwenye Kin'gamuzi cha Azam ndiyo inayorusha Mkuu.kwani ZBC ndio Azam?
ZBC2 bure kabisa
ZBC2 iliyopo kwenye Kin'gamuzi cha Azam ndiyo inayorusha Mkuu.
Kwi! Kwi! Kwi!Futeni huu Uzi maana azam tv sijaona tusi ambalo nikiwatusi hasira zangu zitapungua
Asante sana Mkuu.Mambo yote www.mamahd.com
Asante sana Mkuu.
Mtanange wa leo wa Mo Bejaia v Young Africans utapigwa saa 21:15 kwa saa za GMT siku ya tarehe 19 Juni 2016 sawa na saa 00:15 kwa saa za Afrika Mashariki (EAT) siku ya tarehe 20 Juni 2016.pamoja sana mwanajangwani
Hadi sasa sina 'data' ya kituo chochote cha hapa nchini kuonesha mechi hiyo.Kituo gani cha TV kitaonesha mechi hiyo bro Makoye Mistake?