Recent content by kabungulu sospeter

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wafanyabiashara wenzangu, mliwezaje kudeal na mpinzani wako ambaye kakuzidi kila kitu!

    Kabla ya kuanza biashara anzia sokoni ungejua soko lako NI lipi usiumiza kichwa kabsaa
  2. K

    JamiiForums Tanzania KUMEKUCHA: Tanzania Kupokea 5% Ya Project Bomba La Mafuta Kutoka Uganda, Kinyume Na Magufuli Alivyowaaminisha Raia Wake

    Acheni kupotosha watu ...sjui kwann watz tumekuwa wajinga kias hiki unafaidika nni kupotosha umma Magufuli alisema bomba hili litakuwa Tanzania kwa aslimia 70 na 30 Uganda kwa maana ya eneo la kupita bomba hili linakuwa eneo la Tanzania kwa asilimia 70 na 30 Uganda ndio alichosema Kama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kugundua mkeo aliwahi kutoa Mimba

    Wakat anatoa izo mimba hakuwa kwenye maisha yako huwez jua sababu ilikuwa nni Wakat unamuoa ulikuta sio bikra Io inamaan aliwahi kuwa kwenye mahusiano na kwenye mahusiano lolote laweza kutokea ikiwepo mimba isiotarajiwa Cha msingi anakupenda unampenda na tukio Hilo la kutoa mimba...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

    Inategemeana. Na mkoa na mtaa uliopo mmi kwa mtaani kwetu na mkoa wetu naona weng wanavaa za tz
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

    Watz tunapenda kujikweza sanaaaa Kama ujui Hilo broo yan ukimuuliza uyo mtu kwann umevaa hii kitu na sio ya tz atakwambia kali kuliko ya tz wakat sio kweli
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    Wakenya mnadharau saaana ....kujiona mnajua kuliko wote hasa kujisifu na issue ambazo amstahili nazo kupata sifa .. Mfano ssi tz tuko wawaz kuwa mmetuzidi uchumi ila nyinyi kutoa credit kwa vtu mlivozidiwa na sis Ni ngumu sana Ni waz Kenya mmetuzidi uchumi na vichekesho bhas pengne kote...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sisi wanaume ni waelewa sana, tunataka kujua wanawake nini mnataka?

    Achana na size yako chukua wa chini yako hapo ndio wewe utakuwa yule kaka wa chuo uliemchukulia demu dgo wa form 2 c Cha msingi wanaume tuangalie furaha yetu sio za wanawake wetu tunakosea sana sisi tunapoangalia wanawake wanapenda nni .iv viumbe Ni avijui vinapenda nni
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu analalamika umri umeenda anahitaji tufunge ndoa tutengeneze familia ila mie kimaisha bado sijasimama

    Kama unachumba chako na kitanda inatosha oa mengne yatakuja mbele Wenda ndio bahat yako io usimkatae muoe tuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo mbovu wa Elimu Tanzania

    Avn Ni changamoto sana Mimi nilikula nao sahani moja nilikuwa nashida ofisini kwao mpka kikaeleweka ila Kuna jamaaa zangu mpka Leo Ni kipengele
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dj summer amekuwaje siku hizi?

    Sku iz east africa akuna DJ mkali pale Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania UDSM na Project Planning and Management

    Waungwana msaada tafadhali kwa wale wanaosoma au waliosomea UDSM. Kuna degree program inaitwa Project Planning and Management naipenda sana lakini napenda sana Chuo Kikuu Dar es salaam nauliza hii degree program inatolewa UDSM? Anayefahamu au aliyesomea hii degree program msaada tutani. Sent...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    (Jini) Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Simba kuweni serious Matola hana uwezo wa kutufikisha mbali kimataifa

    Matola anakuwa head of yourth programme sio kocha mkuu wa simba wala msaidizi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mchepuko oyeee!

    Mmi kuoa ntaoa ila swala LA kuacha wala sifikirii Mara mbili unaweza ingia Leo ukatoka keshoo
  15. K

    JamiiForums Tanzania JF ndani ya daladala: Uko wapi na unatoka wapi kwenda wapi?

    Ahaha ahaha io sio daladala tena
Back
Top Bottom