Weka tuone huo mkataba. Japo vipengele vinavyojadiliwa hapa.Mkuu 5% unayosema ni umiliki wa hiyo project. Lakini ushuru wa kupitisha mafuta ndio ambao Tanzania itapata 60%
Hapa faida kubwa ambayo Tanzania itanufaika nayo ni ushuru na Wala sio umiliki. Pia ajira nyingi watazipata watanzania kuanzia bandarini pale tanga na center zote zitakazojengwa kwenye bomba la mafuta
Kwa sababu ndiyo kuna vichaka vingi vya kuchimba dawa!! Maamae!!Hilo bomba kwann linapita Tanzania?
Na hilo la urongo unalizungumziaje ndugu msemaji?Tuwe realistic kidogo. Ada ya kupitisha mafuta si ndogo. Ardhi mtafidiwa na bado mtapata ada ya kupitisha mafuta. Tatizo letu waswahili ni kutaka kikubwa bila kuangalia kuwa itakuwaje hata ukikosa hicho kidogo. Nadhani Kenya walikuwa wako tayari kutoa concession chini ya hapo. Kuna faida nyingine kama vile peaceful coexistence baina ya mataifa yanayoingia kwenye biashara kama hii na mengine mengi.
Wape elimu kidogo hawa mbugila mbugila. Ownership na faida (benefits) ni vitu tofauti. Unaweza kuwa unamiliki zaidi ila ukazidiwa faida ya project yenyewe na partner mwingine kulingana na position yakeMkuu 5% unayosema ni umiliki wa hiyo project. Lakini ushuru wa kupitisha mafuta ndio ambao Tanzania itapata 60%
Hapa faida kubwa ambayo Tanzania itanufaika nayo ni ushuru na Wala sio umiliki. Pia ajira nyingi watazipata watanzania kuanzia bandarini pale tanga na center zote zitakazojengwa kwenye bomba la mafuta
Kwani umeanza kudanganywa LEO . tatiza la kuzaliwa 2000Imani yangu, wewe ndio sio mfatiliaji wa mambo kwa undani, na ndio mliokua mkiaminishwa hata ATCL kufanya kazi kwa faida na kuipa serikali gawio.
Hoja ni fupi; KWANINI RAIA TULIDANGANYWA? Tungeambiwa ukweli kuwa tunapata 5% au 1% wala tusingekataa, tungekubali. Ila Magufuli Kila kitu kwake kilikua kinaendeshwa kwa mwendo wa uongo uongo uongo na propaganda tu.
Hawezi WEKA HUYOMtoa mada ni liongo namba moja . Weka hiyo clip ya mwendazake akieleza huo upupu wako.
Father of None, kwani ni kweli uko hivyo unavyoandika? Au ni kujichetua tu? Unadhani Kenya wangetoa/walitoa concession chini ya hapo? Mradi ilikuwa upitie Kenya. Kama ni kutoa quotations walianza wao. Kenya ardhi ni kaa la moto wa mkaa wa mawe. Ardhi ni ya watu/majitu binafsi yenye kujua thamani ya ardhi. Hilo tu Total wangechemsha kama hawakutokosa!Tuwe realistic kidogo. Ada ya kupitisha mafuta si ndogo. Ardhi mtafidiwa na bado mtapata ada ya kupitisha mafuta. Tatizo letu waswahili ni kutaka kikubwa bila kuangalia kuwa itakuwaje hata ukikosa hicho kidogo. Nadhani Kenya walikuwa wako tayari kutoa concession chini ya hapo. Kuna faida nyingine kama vile peaceful coexistence baina ya mataifa yanayoingia kwenye biashara kama hii na mengine mengi.
Hata hiyo 5% ni dili ikizingatiwa kuwa mafuta si ya Tanzania bali Uganda. Ridhikeni na mnachopata. Cha muhimu ni kwamba kuna pato hapa hata kama siyo hiyo 70% ambayo nadhani Magufuli alimaanisha kwenye ujenzi ambapo sehemu kubwa iko Tanzania. Soma zaidi utagundua kuwa umekurupuka.
Kafa na harudi tenaaaaaaaaaa alikuwa mwizi. Utaingiaje kwenye akaunti za watu na kupora fedha zao jasho zao. Mungu alimkatisha maisha yake maksudi
Mwendazake alikuwa taahira, alikuwaga anapenda sifa sana!Imani yangu, wewe ndio sio mfatiliaji wa mambo kwa undani, na ndio mliokua mkiaminishwa hata ATCL kufanya kazi kwa faida na kuipa serikali gawio.
Hoja ni fupi; KWANINI RAIA TULIDANGANYWA? Tungeambiwa ukweli kuwa tunapata 5% au 1% wala tusingekataa, tungekubali. Ila Magufuli Kila kitu kwake kilikua kinaendeshwa kwa mwendo wa uongo uongo uongo na propaganda tu.
Ndicho alichomaanisha asilimia 70 ya bomba iko Tanzania hivyo pato kubwa litakuwa upande Wa Tanzania kuanzia ajira na tenda mbalimbali na fidia nkHata hiyo 5% ni dili ikizingatiwa kuwa mafuta si ya Tanzania bali Uganda. Ridhikeni na mnachopata. Cha muhimu ni kwamba kuna pato hapa hata kama siyo hiyo 70% ambayo nadhani Magufuli alimaanisha kwenye ujenzi ambapo sehemu kubwa iko Tanzania. Soma zaidi utagundua kuwa umekurupuka.