google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,668
- 13,868
Watu wa hivyo hawapewi shikamooShikamoo Mama!
Watu wa hivyo hawapewi shikamooShikamoo Mama!
Eti anakunwa vizuriii sasa sijui muwasho gani huoNini unakikosa kwa mumeo ambacho unakipata kwa mchepuko ? ?
Kumbe unaigiza moyoni unae mwingineninae na nampenda, ni zaidi ya miaka kumi nipo ndani ya ndoa na ukituona nje utatamani kuishi maisha yetu
Mbona haumwambii mumeo uone kama hataumiakwa sababu si muumizi mtu, napambana na khali yangu
Kweli ww ni dagaa na huwa ni tamu zikipata mpishi mzurimh ya kwake ananiambia...
Naomba na mm kidogo. Heshima itakuwa pale palemh ya kwake ananiambia...
Habari wanajamvi,
Wacha niende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mke wa mtu nina miaka kadhaa kwenye ndoa zaidi ya kumi, namuheshimu mume wangu na nampenda sana pamoja na watoto wetu, naye analitambua.
Huu ni mwaka wa sita sasa niko na mchepuko wangu na mchepuko wangu naye ni mume wa mtu, na sitegemei kumwacha. Na naweza sema jamani michepuko inaimarisha kutunza ndoa ukiwa na mchepuko wako ukakupenda na mkaheshimiana na mkawekeana misingi yenu, wacha niendelee kusema michepuko hoyee.
Sitaki ushauri wenu wa hoo sijui maradhi yapo, jibu ni kwamba tuko makini na mchepuko wangu kuliko mjuavyo, na ananikuna haswaa na ananijali sana.
Ila swali moja la kizushi, kwanini wanaume mlioko kwenye ndoa mkiwa kwenye sita kwa sita amuwapi mashamsham wake zenu ila mkitoka nje mnaonyesha ufundi ambao hamuwapi wake zenu? Hata mimi nina imani huyu mume wa mtu niliye nae ananipa mashamsham kama yote ila najua kwa mkewe atakuwa anampapasa.
Kwakweli mimi sijutii, na kama dhambi nimeshatubu sababu hata Mungu naye ni shahidi anaona ninachopata.
Wale wote wenye bibi wa kando na babu wa kando tuseme hoyeeeee.
Kwa kumalizia nasema hivi: Mchepuko wangu nampenda sana na na mume wangu nampenda na ndoa yangu siachi na yule naye namshauri sana asimwache mkewe, sisi tupo kwa ajili ya kurutubisha ndoa zetu na kujenga.
Karibuni.
Umeshindwa kucheza na akili zako utaweza kucheza na akili za wengine? utetezi wako wa kitoto unazidi kudhihirisha kua umweupe kichwani.lazima kucheza na akili yako ili twende sawa, nina tatu na apa mwakani naanza PHD
Hiki ndicho kizazi tulichonacho Tz ya Viwanda! Halafu mumeo akijua akaleta gunia mbili za mkaa akuchome nazo jamii itamsakama!?
Hahaha haaa.... Amesema anazo 3 ..na mwakani ana apply PHD..no wonder Ccm inavyo endelea kutawala hili taifa Takriban nusu karne sasaAndika tu kiswahili,sasa hicho ni Kiingereza cha wapi? ndio wewe unayejisifu una degree!!
kweli wewe dagaa......nyavu zinakunyemelea....
Ni kweli kabisa kuwa wanaaongoza kugonga ovyo kwa sàsa ni waliopo ndoani. Yaani wake zetu wanaliwa sana, tena zaidi ya sana. Hapa nilipo hadi inaogopesha, wamama wanatandikwa na vijana balaa.
Ningekuwa na pesa ningejenga Lodge yangu, lodge ni bonge la biashara kwa sasa, kitanda kimoja @25,000 fully furnished kinaweza kutumika hata mara nne kwa siku, muhimu ni ku-maintain usafi na customer services ziwe standard ya juu, hasa msimu huu wa sikukuu.
Na ameshindwa kujua kua inaandikwa PhD na sio PHD.Hahaha haaa.... Amesema anazo 3 ..na mwakani ana apply PHD..no wonder Ccm inavyo endelea kutawala hili taifa Takriban nusu karne sasa
ninae na nampenda, ni zaidi ya miaka kumi nipo ndani ya ndoa na ukituona nje utatamani kuishi maisha yetu