Recent content by kabika mingane

  1. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    .
  2. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaolilia uhusiano wa mapenzi na wageni au wazungu

    Fred macha umepitia mengi, Nakufuatilia mara kwa mara hasa katika kalamu kutoka London-mwananchi jumapili. Uliyosema ni kweli na hakika.
  3. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania Bendi na makundi bora zaidi kuwahi kutokea katika historia ya muziki wa Dunia

    Tp ok jazz, Afrisa International, Africa all stars, Soukous star, Orchestra lipualipua, Orchestra kiam, Kilwa jazz, Cuban marimba, Tancut almas, Moro jazz, Wenge musica bcbg, Oliver mutukudzi, Empire bakuba, Western jazz, Si kila kitu kizuri mpaka kitokee Marekani na Ulaya tu.
  4. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Kizuizi

    Asili ya Jose B ni Kamachumu!
  5. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania Barrick yamfukuza kazi kijana kwa kumtongoza mwanamke wa kihindi

    Yeye alilitongoza la nini hilo? Ni dalili zipi zilimfanya akaamini liko tayari kuingiliwa?
  6. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania NAKUMATT Supermarket yafungua branch Dar

    Nakumat imefunguliwa sawa! Lakini hawajawa na bidhaa nyingi kama walivyokuwa shoprite, ukweli duka la mlimani city bidhaa ni pungufu sana, pia bei zao ziko juu kuliko ilivyokuwa kabla hawajanunua nakumat. Kwa ujumla duka limepwaya sana.
  7. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

    Nokia Mujwahuzi, Samsung Ngemera, Ringtone Kyaruzi, Sms Byarugaba, Whatsapp Byagarama, Ipad Rwechugula, Apple Kafanabo, Charging Mulokozi Na na na na na!!!
  8. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania Mwanamke una flat screen, nani akutake, buttocks injections on rise in US

    Veve iko taka nini veve?
  9. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania Misemo na Maneno ya zamani

    Wali-ubeche Makalio makubwa-tukunyema Kiatu cha mchuchunio-gonga snake Suruwali-tinabuu Jeans-dengrees Brotherman-bitoz Ukimwi-juliana Pesa-michuzi,mchicha,michone Rushwa-mlungula,kagugu
  10. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani

    Jamani xxxxxxxxxx ipunguzieni matumizi! Xaxa xixi xoxo xexe xuxu! Wzamani hatuelewi kitu chochote hapo.
  11. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania Usafiri enzi zile Mwanza yetu

    Je Arshas club pale mtaa wa ribert bado mnaikumbuka?
  12. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania Mchezo huu ni wakumsifia mwanamke

    Ubinafsi ndo mpango mzima kwa hao binaadam.
  13. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania Ukiona nini huwa unakumbuka nini? Mimi naanza....

    Nikiona rangi za kijani na nyeusi nakumbuka kilimo cha jembe la mkono tu.
  14. kabika mingane

    JamiiForums Tanzania Ukiona nini huwa unakumbuka nini? Mimi naanza....

    Nikiona Land rover huwa nakumbuka jeshi la polize tu.
Back
Top Bottom